East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Sasa waweza kununua Chopa kwa dola laki moja na elfu ishirini za US. Kwa ufafanuzi soma hapa
Gharama za uendeshaji ni kubwa ukiachana na gharama za kuajiri rubani au kwenda mafunzo ya kuendesha mwenyewe unatakiwa kila mwaka uwe na kiasi cha shilingimilioni ishirini kama gharama za uendeshaji kama ifuatavyo kwa mtumiaji wa kawaida unayemchuklulia anaitumia masaa 120 au siku tano kwa mwaka mzima kwani kila baada ya kuruka angani kwa masaa 100 lazima ikaguliwe kikamilifu na wataalamu wa anga
Insurance (personal): $7,450.00 yearly
Hanger: $2,400.00 yearly
Annual Inspection total: $1,800.00
Scheduled 50/100 hours Inspections: $1,100.00
Fuel (120 hours x 9 gal p/h x 4.50 p/g): $4,860.00
Oil (average 1 qt each 8 hours x 8.50 p/q): $127.00
total: $19,537.00