elfu kumi na 1

elfu kumi na 1

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
Ukinijibu vzr hapa nakupa zawadi
ya EID l HAAJ:
11,000/= kwa kiswahili "Elfu kumi
na moja"
10,001/= je hii utaitaje?
:A S cry::A S 465:
 
Ukinijibu vzr hapa nakupa zawadi
ya EID l HAAJ:
11,000/= kwa kiswahili "Elfu kumi
na moja"
10,001/= je hii utaitaje?
:A S cry::A S 465:

ila zawadi sitaki kwakuwa idd l haaj iko mbali bado.
 
Majuto ameshinda sasa mfanye arrangement ya kupeana zawadi tu!Sajy timiza ahadi yako usilete ubabaishaji!Au tukupe mji hata kwa swali hili?
 
Back
Top Bottom