funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi.
Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake.
"Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania"
Ewe mwanaJF, Mtanzania, Msomaji au yoyote yule unaelewa maana ya neno "Kiumbe"?
Nikitafsiri kidogo tu kutoka kamusi za walami.
something created either animate or inanimate: such as
a
: a lower animal
especially : a farm animal
b
: a human being
c
: a being of anomalous or uncertain aspect or nature
Yaani kilichoumbwa iwe ni mnyama au la au tunachofikiri kina uhai au hata kisicho kawaida tu.
Hivyo basi statement ya mhe.Rais ni extra terrestrial statement inayotakiwa kutiliwa maanani na sio kukurupukiwa na wahuni pengine wanaojidai ni maaskofu.
Rais Samia amedhihirisha utayari wa kuilinda na kuisimamia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna yoyote ile ikiwemo "viumbe " hatarishi dhidi yetu.na hili ndilo lililomfanya kuwa Rais wa Tanzania.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!