dopamine-B
Member
- Sep 1, 2012
- 85
- 269
hakuna haja, ila kama inaezekana fungua...
Mkuu, umetoa somo zuri, ila system ya sasa hivi sio ya zamani. Sasa hivi hamna kitu kinaitwa %. Matokeo yanatoka kwa kuonyesha umepewa kiasi gani na baadaye wanatoa loans breakdown kukuonyesha wamekugawanyishia. NON PRIORITY na PRIORITY zinahusika sasa, maana kuna program zimepewa kipaumbele zaidi ya nyingine. Wewe wape moyo tu, ngoja muone mautumbo ya HESLB
Mkuu hebu dadavua kiundani zaidi hapo kwenye red
so utajuaje kiwango cha tuition fee unayo takiwa kulipa??
Duh mkopo unaombwaje cz mi sikuomba c kwt tupo vizuri over!
nani kakuulza kama kwenu mko vzr?