Vijana hao hao wanawatongoza magoli kipa halafu wanakuja kutusumbua humu.Vijana nao hawataki golikipa tu asiye kuwa na hata mawazo ya kulima mchicha
Vijana hao hao ndio
Vijana hao hao wanawatongoza magoli kipa halafu wanakuja kutusumbua humu.
Kuna mafanikio mengine yanakuja baada ya kuoa so kadri unavyochelewa kuoa ndipo unaposogeza mbele mafanikio yako. Cha msingi upate mwenza sahihi.
Mwenza sahihi sio rahisi kumpata kama unavyofikiri, nchini nzima na dunia nzima inaonekana wamebaki 20 tu, yani awe ana mzuri na mvuto na tabia zake uzipende pia 🤔Kuna mafanikio mengine yanakuja baada ya kuoa so kadri unavyochelewa kuoa ndipo unaposogeza mbele mafanikio yako. Cha msingi upate mwenza sahihi.
Lazma kuna tabia mbaya moja au mbili ukubali kuzitolerate. Hakuna mwenza amekamilika kila kitu. Hapo kweli utaoa ukiwa na 60+ bwashee wa mtu.Mwenza sahihi sio rahisi kumpata kama unavyofikiri, nchini nzima na dunia nzima inaonekana wamebaki 20 tu, yani awe ana mzuri na mvuto na tabia zake uzipende pia 🤔
Yani kuoa sio jambo la kukurupuka hata kidogo ,mambo kwa sasa yamebadilika sana , ni bora hata kuwa single tu kwanzaLazma kuna tabia mbaya moja au mbili ukubali kuzitolerate. Hakuna mwenza amekamilika kila kitu. Hapo kweli utaoa ukiwa na 60+ bwashee wa mtu.
Nakubaliana na wewe.Yani kuoa sio jambo la kukurupuka hata kidogo ,mambo kwa sasa yamebadilika sana , ni bora hata kuwa single tu kwanza
Kunakitu ukielewa maisha hayawz kukupa shida unatakiwa ujue hakuna mkamilifu huwez kupata kila unachotak kwa mtu wako huyo mmoja iwe mwanamke au mwanaumeSiku zote nasema, vilio vingi vya wanaume humu jf vinaanzia hapa Aaliyyah
Hayo yanavumilika , ila matatizo mengi ya ndoa na mahusiano ni usaliti na pesa ndio tatizo kuuKUnakitu ukielewa mausha hayawz kukupa shida unatakiwa ujue hakuna mkamilifu huwez kupata kila unachotak kwa mtu wako huyo mmoja iwe mwanamke au mwanaume
Unawza kuona mtu anajali sana au mwanamke supportive kwa mume ila sio mama mzuri,unaweza pata mama mzuri ila mbinafs kwenye masuala ya kifamilia hata wanaume wana upande inabid ubebe hayohayo yaliyobora na yanayokuvutia ili ufiche madhaifu mengine
Tatizo mnatak kilakitu awe mzuri awe supportive alete unga nisipoleta ajue kulea watoto awe romantic kwa mtu mmoja huyohuyo sudhni km inawezekana
soma vizur mada mwishonNafikiri kwenye mahusiano na maisha kiujumla hata wanaume mnahitaji sana kuwa elevated. Unaanza mahusiano na binti, anakuhamasisha kununua kiwanja, kufanya biashara, kuwekeza na ni kimbilio lako wakati hata una stress za kazi. Binti anaplay role yake vizuri. Shida wanaume wachoyo mnaangalia sana hela ila. Ukiombwa hela unaona kama unataka kutolewa roho. Nyie mambo pia sio mepesi kama huna hata wa kumwambia siku yako ilivyokua mbaya. Ukisikia wanaume wanakufa haraka ndio mambo hizo. Wacha nikazogoe na sweetlady mie
Naona swaumu kwangu imekua kali mapema nitasoma nikishafuturu.soma vizur mada mwishon
Kuna elevation na wanaostahili.
Hapo wew unazungumzia wanaostahili.
hahaha pole mkuu, Mungu akupe nguvu.Naona swaumu kwangu imekua kali mapema nitasoma nikishafuturu.
Nimebadili ratiba ya kula. Hahahahaahhahaha pole mkuu, Mungu akupe nguvu.
Ila unatia nia lakin? Au unatimiza wajibu kufunga
najua sio mchezo kuacha kula masaa 12 tena mchana, mida ya kazi.Nimebadili ratiba ya kula. Hahahahaah
Ni rahisi pia nafocus vizuri. Hujui shibe mwanamalevya...najua sio mchezo kuacha kula masaa 12 tena mchana, mida ya kazi.
kweli mkuu, mfungo huu pia taifa mliombeeNi rahisi pia nafocus vizuri. Hujui shibe mwanamalevya...
Maombi ya taifa tumemuachia Pasco Mayalakweli mkuu, mfungo huu pia taifa mliombee
haya bhana. Kila la kheriMaombi ya taifa tumemuachia Pasco Mayala