Elevation

Huwa unajadili mambo from the mouth of which river? Unajua kuwa kwa 80% wanawake hatutongozi? So now tell me ni kwanini mtu umtake mwenyewe halafu ulalamike unayoyalalamikia hapa.
Suala la kutongoza lipo kisaikolojia zaidi. Mwanaume ndie huwa anafanya direct first move, lakini haimaanishi mwanamke hana uhitaji. Infact mwanamke pia anatongoza ila kwa kuonyesha ishara, ni wachache sana wana ujasiri wa kumface mwanaume na kumtakia wazi.
Hicho ndicho ninachoongelea mimi. Mwanaume pia afanye calculation aangalie atapata elevation gani kabla hajaji-commit kwenye mahusiano na mwanamke.

Ni ukweli ulio wazi bila financial security kwa mwanamke hakuna maana ya yeye kuwa kwenye mahusiano.

Mwanamke akiulizwa what do you bring on the table, atakuja na blah blah tu za prayers, advice and peace of mind... Totally bullshit., if her prayers and advice wouldn't be as useless as a used toilet paper she wouldn't be looking for a man to offload her financial responsibilities to.
 
Fact
 
Mkuu bikira sio kashfa. Kidini, kitamaduni, kisayansi na kijamii hiyo ni preference ya muhimu sana
 
Sema kuna namna haujazama deep hapo kwenye feminism. Kuna first wave, second wave na third wave feminism. Hii third wave feminism tuliyopo sasa ni mbaya sana na inaenda kualibu kabisa ustawi wa jamii. Hoja zako huwa unazijenga kwa kufanyia rejea first wave feminism yaani ile ilipiganiwa na wakina getrude mongella, sio hii ya sasa ya wakina joyce kiria.
 
Uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

kama urembo wake ndio utakuwa fimbo ya kukunyanyasa kihisia na kukutawala. awe heartless kwako.

STUKA..ni bora ukasaliti hisia zako ili usishikwe masikio..

kindness is the one that makes some one beautiful...UTU wa mtu na utulivu..moyo mwema ..UPENDO wa dhati..heshima..unyenyekevu..feminine...uvumilivu...,God fearing..G(TABIA).
wife material quality..sifa za tabia njema ya kupendeza.

hizi women empowerment..na mfumo jike ..umeondoa sifa njema..umefanya mabinti waote mapembe...na kudharau vijana wa kiume.

imepelekea msichana wa elimu ya juu wa sura nzuri au anayejiweka high class(juu au sawa ya mumewe) na kujiona hawezi kumtii au kuwa chini ya mumewe..imefanya ndoa nyingi kutodumu...au kuwa migogoro.

haya mambo ya women empowerment ndiyo yamesababisha ndoa nyingi kutodumu huko western wameleta na huku afrika..kubdestabilize family units.
 
Hicho unachokiita offloading financial responsibilities sio offloading per se!

Wewe bwana wewe! kwahiyo wanawake wanacholeta mezani ni prayers na advice tu? mbona umechagua vitu vyepesi vyepesi tu? What about sisi tusijua kusali/tusiosali? probably atheists? What about sisi ambao ni naive ambao hatuna chochote cha kumshauri mtu?

Unakwepa kabisa physical +emotional labor mnayowafanyisha wanawake, tena hiyo physical labor inaleta pesa mezani hata kama si kwa kiwango kile ambacho wewe unatoa.

Bana we, if we are speaking about marriage and long- relationships. Hivi vitu brings a shift in responsibility, priorities, identity, and accountability. Hapa ndipo mwanamke anapoanza kulose herself na kujenga himaya yako, ambayo ndani yake naye yumo. Sasa kama mtu huyu ha-deserve elevation then nitaanza kushauri wanawake wakae mbali na mahusiano/ndoa 😂 Kwasababu weeeee! Ungeweza?
 
kama uzuri wa sura na umbo /urembo wake ndio unamfanye akunyanyase..ni bora usaliti hisia zako utumie akili..uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia njema.
 

Attachments

  • images - 2026-02-21T194951.923.jpeg
    40.9 KB · Views: 3
Wanawake wa kisasa wengi wanataka commitment, loyalty na provision kutoka kwa mwanaume halafu katika mahusiano hayo hayo wao wawe wanafanya biashara ya kukuuzia K. Wanawake wa aina hii huwa tuna-deal nao kwa kanuni ya hit and run.
 
Kunawatu mnamuona mwanamke kama kitu cha thamani, mwanamke nini anaoffer,kivip feelings zikuendeshe kwa ajili ya mwanamke??
 
Kunawatu mnamuona mwanamke kama kitu cha thamani, mwanamke nini anaoffer,kivip feelings zikuendeshe kwa ajili ya mwanamke??
Tunaoffer vitu vingi sana kuwa na mwanamke kuna amani hasa kama mwanaume umependwa

Ukiwa na gundu utaona wanawake kama tunaumiza hivi au hatufai ilaukweli sisi ni kiungo.muhimu sana kwenu japo tuna mapungufu yetu
 
Tunaoffer vitu vingi sana kuwa na mwanamke kuna amani hasa kama mwanaume umependwa

Ukiwa na gundu utaona wanawake kama tunaumiza hivi au hatufai ilaukweli sisi ni kiungo.muhimu sana kwenu japo tuna mapungufu yetu
Mwanamke kwangu akiniganda naona kelo,Zaid ananinyima raha,mara akulazimishe kufanya mapenzi wakati hutaki,mara akulaliye ovyo ovyo wakati unastress zako,Mwanamke ni kero tu
 
Tunaoffer vitu vingi sana kuwa na mwanamke kuna amani hasa kama mwanaume umependwa

Ukiwa na gundu utaona wanawake kama tunaumiza hivi au hatufai ilaukweli sisi ni kiungo.muhimu sana kwenu japo tuna mapungufu yetu
Hizi ni intangible contributions. Zimekaa kisiasa sana. Elezeeni tangiable contributions zenu yaani zile ambazo zinaonekana, zinapimika au zinashikika mfano hela, assets, connections n.k
 
Mwanamke kwangu akiniganda naona kelo,Zaid ananinyima raha,mara akulazimishe kufanya mapenzi wakati hutaki,mara akulaliye ovyo ovyo wakati unastress zako,Mwanamke ni kero tu
Kiukweli wanaume na wanawake naturally kila mmoja anamuhitaji mwenzake, ni feminism na hii trend ya relationship commercialization ndio imevuluga ile devine order ya mahusiano ya mwanaume na mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…