Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,128
- 33,511
Sijapata neno moja la kiswahili linaweza kuwa na maana mahususi ya neno "elevation". Kwa kingereza tunaweza tukasema "being raised to the higher or more important level or position". Kwa lugha yetu tunaweza kusema kupandishwa kwenda kwenye nafasi ya juu au ya muhimu zaidi.
Elevation, ni moja kati ya neno muhimu sana unatakiwa kuliweka akilini kama unataka kuelewa jinsi mchezo wa mahusiano unavyo-operate. Kupuuzia "elevation" kunawafanya wanaume wengi sana wapigwe na butwaa.
Sasa nataka nikwambie kitu kimoja. Akili ya mwanamke ina neno moja tu - elevation. Utakapoonyesha interest ya kumtaka tayari atakua ashapiga hesabu kama una uwezo wa ku-elevate maisha yake. Kwa mwanamke mahusiano sio feelings exchange tu, ni elevation pia.
Ulikua haujui? Ukifikiri upendo wa mwanamke ni unconditional? Nani alikufundisha hivyo? Kiongozi wako wa dini?. That's the problem, you like listening to fairy stories.
Upendo wa mwanamke kwenye sekta ya mahusiano ni conditional. Labda kama unataka urafiki wa kawaida tu, that can work without conditions.
A woman's mind has no room for sympathy. If you're a man who struggling financially she will not even look your way, unless she assess that your struggle is temporary. She can hang in there with you, it's because she calculate the potential. Although, she can leave if she see no progress.
Tatizo wengi tangu mkiwa wadogo mmekalilishwa blah blah za pure love, sijui soul mates na upumbavu mwingine. Kijana hakuna upuuzi kama huo. Adults love with strategy, not fantasy.
If a woman love with calculated steps, you too should do the same. If she has nothing: no skills, no job, no money, no business, no connections, leave her. A woman cannot tolerate a liability, why should you tolerate it in her.
Don’t be a simp.