Solar systems, windmillsNinaomba kwa dhati ya moyo wangu wataalam wa umeme Tz (Wanazuoni ktk fani ya umeme) wapenyeze technologia rahisi za ufuaji wa umeme kwa matumizi vijijini,wanaweza kupitia veta or majukwaa huru kama haya...najua kuna ugumu hasa suala la fedha nk. lakini aidea zenu zitatambaa nchi nzima na kuitoa nchi ktk giza nene na umeme ghali.. Tz kwanza asanteni..
Ninaomba kwa dhati ya moyo wangu wataalam wa umeme Tz (Wanazuoni ktk fani ya umeme) wapenyeze technologia rahisi za ufuaji wa umeme kwa matumizi vijijini,wanaweza kupitia veta or majukwaa huru kama haya...najua kuna ugumu hasa suala la fedha nk. lakini aidea zenu zitatambaa nchi nzima na kuitoa nchi ktk giza nene na umeme ghali.. Tz kwanza asanteni..
Sera za nchi yako unazijua lakini? Tuna hao jamaa wakala wa umeme vijijini ndiyo kazi yao, lakini ukifuatilia ndo utashangaa nchi ilivyooza.Kwa mainjia kte mbali kwa nini TANESCO na hat wizatra ya nishari walitakiwa kuna na vitengo na na Idara za renewarable energy siku nyingi. Una taalama mmoja hapa wa umeme nilishang aliposea eti sio Kaz ya Tanesco.
NIkagundua kumbe TANESCO na wasomi wengi mekariri kuspply umeme wa Kidato mteara na IPTL na Dowans tu . Sasa Mikoa ambayo haina Grid ya Taifa Tanesco wamelala........ kumbe wangeweza kusupply vifaa na kuwaunganisha watu hata umeme wa solar. Au hata kuwa counsulat wa vifaa vya kutoa wa umeme wa vinyesi vya wanyama na wanadamu.......
Tatizo tumekariri na hatuna ubunifu mpaka hilo pendekezo alilete consultant mjapan wa JICA au USAID ndio tanesco wataona ni waz zuri
Sera za nchi yako unazijua lakini? Tuna hao jamaa wakala wa umeme vijijini ndiyo kazi yao, lakini ukifuatilia ndo utashangaa nchi ilivyooza.
Solar systems, windmills
Kwa mainjia kte mbali kwa nini TANESCO na hat wizatra ya nishari walitakiwa kuna na vitengo na na Idara za renewarable energy siku nyingi. Una taalama mmoja hapa wa umeme nilishang aliposea eti sio Kaz ya Tanesco.