Habari zenu wadau, Nina tatizo katika vifaa vyangu vya umeme (woofer na desktop), vifaa hivi vikiguswa vinachapa mtu shoti pale vinapofanya kazi. Mwenye ujuzi wa umeme anisaidie tatizo linaeza kua wapi.
Mwite fundi akuangalizie earth road ina lick au haifanyi kaziHabari zenu wadau, Nina tatizo katika vifaa vyangu vya umeme (woofer na desktop), vifaa hivi vikiguswa vinachapa mtu shoti pale vinapofanya kazi. Mwenye ujuzi wa umeme anisaidie tatizo linaeza kua wapi.
Earthing system itakuwa na changamoto, badala ya kuzika umeme inarudisha kwenye casing za vifaaHabari zenu wadau, Nina tatizo katika vifaa vyangu vya umeme (woofer na desktop), vifaa hivi vikiguswa vinachapa mtu shoti pale vinapofanya kazi. Mwenye ujuzi wa umeme anisaidie tatizo linaeza kua wapi.
Eart wire ikigusana na neturo circuit break itajioff labda breaker iwe haifanya kazi.Pole kwa tatizo lako mkuu
Hapo kuna kosa limefanyika
Sababu ni kama ifuatavyo
Huenda live waya umegusa moja ya earth
Au huenda earthing system yako haijakaa sawa
Yaan haija ground au neutral waya kuna sehem ime kitana na earth
Je una testa
Pole kwa tatizo lako mkuu
Hapo kuna kosa limefanyika
Sababu ni kama ifuatavyo
Huenda live waya umegusa moja ya earth
Au huenda earthing system yako haijakaa sawa
Yaan haija ground au neutral waya kuna sehem ime kitana na earth
Je una testa
Ndio maana mnafinywa. Mwite fundi kwenye switch sockets zote unazotumia aweke na kingine kama haipo kabisa jiandae luku kuisha haraka haraka utanunua umeme hadi ufilisikie hapoWiring kwangu imefanyika na nyaya mbili tu mkuu (live na neutral)
Eart wire ikigusana na neturo circuit break itajioff labda breaker iwe haifanya kazi.
Hapo earth ina shida haifanyi kazi ndio maana akigusa kama kaloa miguu au yuko peku anafinywa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama hazima moto ila zikigusana neturo inarudisha fase c.b inakata fastana pia ni lazima either earth au neutral moja wapo iwe na moto ndio CB itrip. Kumbuka earth na neutral ni kitu kimoja
Je uyo fundi ndio aliyekushauri utumie waya mbili ama bajeti yake ndio ilikomea hapo,Ethi waya inaumuhimu sana kwenye nyumba,Wiring kwangu imefanyika na nyaya mbili tu mkuu (live na neutral)
Je uyo fundi ndio aliyekushauri utumie waya mbili ama bajeti yake ndio ilikomea hapo,Ethi waya inaumuhimu sana kwenye nyumba,
Kisheria inatakiwa pale palipo na main switch kunatakiwa kuwe na waya tatu,kuwe na nyekundu,kuwe na waya mweusi na watatu ni kijani,izi waya mbili nyekundu na nyeusi zinakompea na zile waya zinazotoka tanesco,halafu ule wa tatu ambao ni kijana unatakiwa wewe ndio unautolea kwenye nyumba halafu chini unatangulizia chuma ambacho kinatakiwa kiwe Copper/shaba ili kikinzane chini ardhini,hapo unakuwa nyumba umeiweka sehemu salama salimini endapo itapiga radi ya mvua basi inajisensi kwenda chini ardhini na baadhi ya vifaa vinabakia kwenye usalama wake,hadi hapo utakuwa umeshaelewa.Nyumba niliyopo nlikuta wiring ishafanyika.
Na vp mkuu hiyo earth inawekwa vipi coz kwenye socket Kuna hole ipo (apart from Ile ya live na neutral) iv Kama ni ya earth, wire ikaunganishwa hapo then inaelekezwa wap Sasa.
Bro earth wire haipo, Kuna tu nyaya mbili live na neutral.
Testa ninayo ndio mkuu.
road X ...... rod VMwite fundi akuangalizie earth road ina lick au haifanyi kazi
Eart wire ikigusana na neturo circuit break itajioff labda breaker iwe haifanya kazi.
Hapo earth ina shida haifanyi kazi ndio maana akigusa kama kaloa miguu au yuko peku anafinywa
Sent using Jamii Forums mobile app