Electric shock kwenye vifaa vya umeme

Electric shock kwenye vifaa vya umeme

Pole mkuu ndio sababu hiyo
Hiyo swich imefungwa waya gan twin cable au

Bro sijawai angalia ilivounganishwa.

Ila Sasa swali langu ni kivipi hiyo earth wire inaeza wekwa coz Kuna socket nyingine nikiweka labda woofer au kifaa kingine haipigi shoti. Sasa hapo sielewi inakuaje
 
Bro sijawai angalia ilivounganishwa.

Ila Sasa swali langu ni kivipi hiyo earth wire inaeza wekwa coz Kuna socket nyingine nikiweka labda woofer au kifaa kingine haipigi shoti. Sasa hapo sielewi inakuaje

Ni kwakua hapo hakuna earth mkuu
Ndio maan unaona inakupiga
Shart ni kuiweka
 
Habari zenu wadau, Nina tatizo katika vifaa vyangu vya umeme (woofer na desktop), vifaa hivi vikiguswa vinachapa mtu shoti pale vinapofanya kazi. Mwenye ujuzi wa umeme anisaidie tatizo linaeza kua wapi.
Posibilities za tatizo hilo ni hizi zifuatazo
1. Live wire imegusa earth, au leakages due to low insullation resistance
2. Huna RCD (residual Current Device) kwenye DB yako
3. Grounding system haipo sawa. Embu angalia kama una earth rod (ya coper) na bado haijawa corroded. Kujua kama ni ya coper au la! iwekee sumaki, ikishika ujuwe ulipigwa isiposhika basi inaweza ikawa coper.

Possible Solutions
i. Hakikisa unampata fundi ambaye ana kifaa kinaitwa megger tester na akupigie megger nyumba nzima (between LIVE AND NEUTRAL. LIVE AND EARTH WIRE, NEUTRAL AND EARTH WIRE) na resistance itakayopatikana isipungue 0.5 Megger ohms. LIVE

ii. Check earthing system yako, nayo iwe tested for continuity between earth point at your DB and earth rod, as well as all the switched sockets in the house. An AVOMETER is enough for this. Acheki vile vile earth value between your earht rod and general mass of the earth kama kuna connection nzuri. Ofcaurse soil resistivity will matter much. Wa kufanya hii lazima awe earth tester. Earth/Ground value isizidi 3 ohms kwa domestic houses

iii. Hakikisha wiring yako ina waya tatu {for live (normally red), Neutral (normally black) and Earth (normally green/yellow or green)} to the points of switched sockets. Two wires ni kwa ajili ya vifaa ambavyo vipo covered na plastic kwa nje. Vifaa vingi nya majumba (mfano pasi, mabirika ya kuchemshia maji etc) vina metal parts ambazo kwa principles za umeme, ni rahisi kupata indusction na hasa kama hazijawa grounded.
 
Bro sijawai angalia ilivounganishwa.

Ila Sasa swali langu ni kivipi hiyo earth wire inaeza wekwa coz Kuna socket nyingine nikiweka labda woofer au kifaa kingine haipigi shoti. Sasa hapo sielewi inakuaje
Hivyo vingine ambavyo "havikupigi short", ni vina covers za chuma? au plastic au any other materials ambazo siyo electrical conductors?
 
Boss labda hujaelewa wadau.
nyumba ina wiring ya nyaya 2 tu? Hakuna earth? Mbona upo hatarini?
Yaani kabisa.. na ikitokea kuna surges za radi wakati wa mvua, lazima apate shida
 
[halafu ule wa tatu ambao ni kijana unatakiwa wewe ndio unautolea kwenye nyumba halafu chini unatangulizia chuma ambacho kinatakiwa kiwe Copper/shaba ili kikinzane chini ardhini

So unamaanisha kuwa earth wire itaunganishwa kutoka kwenye hole iliyowazi katika socket then inachimbiwa kwenye ground au
[/QUOTE]
Tafta fundi haya hutaweza
 
So unamaanisha kuwa earth wire itaunganishwa kutoka kwenye hole iliyowazi katika socket then inachimbiwa kwenye ground au
Tafta fundi haya hutaweza
[/QUOTE]


Angalieni mfano huu hapa chini



1629046895345.png


Umeme ukitoka kwenye mita ya TANESCO, unaingia kwenye DB ukiwa na nyaya mbili (L na N) then unaingia kwenye main switch, halafu RCD. Baada ya RCD, unaingia kwenye MCB ambazo ndo zitapeleka umeme kwenye taa, feni, jiko, sockets etc kutemeana na una vifaa gani nyumbani kwako.

Kwa upande wa Earth rod (
1629047216502.png
) inachimbi nje halafu inaungwa na waya and thenwaya huo unapelekwa kuungwa kwenye earth bar baada ya hapo, zinatoka earth waya kuelekea kwenye kila kifaa chako, ikiwemo switched socket bila kupitia popote pengine. The same to neutral ambayo imeletwa na TANESCO, itaenda kwenyeneutral bar na kupelekwa kwenye kila kifaa kinachohitaji neutral directly bila kupitia popote., mfabo socket itapata neutral straight toka kwenye neutral bar. Kwa upande wa LIVE waya, yenyewe mara baada ya kutoka kwenye RCD, itapitia kwenye breaker (MCB) kabla ya kwenda kuungwa upande wa switch ya socket ili uweze kuzima na kuwasha. Hivyo matundu hayo matatu ya sockets yataungwa waya hizo tatu kama inavyoonekana kwenye mchoro.
 
Hivyo vingine ambavyo "havikupigi short", ni vina covers za chuma? au plastic au any other materials ambazo siyo electrical conductors?

Vina covers ndio vya Chuma na hata ukiweka testa haiwaki which means haipigi shoti
 
Vina covers ndio vya Chuma na hata ukiweka testa haiwaki which means haipigi shoti
Socket ya hapo inawezekana ina earth au kuna waya tatu. Je vifaa vingine ukivijaribia kwanye socket hiyo hiyo inakuwaje?
 
Kwenye socket hiyo hiyo nikiplug kifaa kingine inafanya tu vizuli
Kwa hiyo tatizo la short halipo kwenye socket hiyo hiyo na kwa vifaa tofauti? Na ukihamishia socket nyinge (yenye short) vifaa vyote vinakuwa na short?
 
3. Grounding system haipo sawa. Embu angalia kama una earth rod (ya coper) na bado haijawa corroded. Kujua kama ni ya coper au la! iwekee sumaki, ikishika ujuwe ulipigwa isiposhika basi inaweza ikawa coper.
Sijajua kama unamuelekeza yeye au fundi wake. Kama ni yeye asithubutu kucheza na earth rod wakati umeme umeshawekwa ndani, maana anaweza akafa vizuri sana
 
Nyumba niliyopo nlikuta wiring ishafanyika.

Na vp mkuu hiyo earth inawekwa vipi coz kwenye socket Kuna hole ipo (apart from Ile ya live na neutral) iv Kama ni ya earth, wire ikaunganishwa hapo then inaelekezwa wap Sasa.
Earth wire inaungwa na earth rod kisha inazikwa ardhini Kwenye shimo lenye mchanganyiko wa Chumvi na makaa unamwaga maji unafukia

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
na pia ni lazima either earth au neutral moja wapo iwe na moto ndio CB itrip. Kumbuka earth na neutral ni kitu kimoja
Mkuu, Earth na Neutral ni kitu kimoja kwa level ya juu sana, huku majumbani na kinachozungumzia hapa, ibaki kuwa earth ni earth na neutral ni kitu kingine, kinyume na hivyo, tutavurugikiwa moja kwa yote😊
 
Baadhi ya vifaa vinatumia plug ya pini mbili -radio,kompyuta. Vipi usalama wa vifaa hivi ukilinganisa na vifaa vinatumia plug ya pini tatu?
 
Kisheria inatakiwa pale palipo na main switch kunatakiwa kuwe na waya tatu,kuwe na nyekundu,kuwe na waya mweusi na watatu ni kijani,izi waya mbili nyekundu na nyeusi zinakompea na zile waya zinazotoka tanesco,halafu ule wa tatu ambao ni kijana unatakiwa wewe ndio unautolea kwenye nyumba halafu chini unatangulizia chuma ambacho kinatakiwa kiwe Copper/shaba ili kikinzane chini ardhini,hapo unakuwa nyumba umeiweka sehemu salama salimini endapo itapiga radi ya mvua basi inajisensi kwenda chini ardhini na baadhi ya vifaa vinabakia kwenye usalama wake,hadi hapo utakuwa umeshaelewa.
(Kwa wenzetu nchini South Africa wao shirika laUmeme kule ndio wanaokuletea waya tatu yaani inakuwa live waya,neutro na ethi lakini nchini kwetu Tanzania kutokana umasikini wetu ndio wao wanakuletea waya 2 na ethi ujiwekee mwenyewe)
Mtaalamu, umepitiwa kidogo hapo kwenye radi na earthing. Earthing ya hizi nyumba zetu haikingi umeme wa radi kuleta madhara kwenye nyumba
 
Mkuu, Earth na Neutral ni kitu kimoja kwa level ya juu sana, huku majumbani na kinachozungumzia hapa, ibaki kuwa earth ni earth na neutral ni kitu kingine, kinyume na hivyo, tutavurugikiwa moja kwa yote

 
Baadhi ya vifaa vinatumia plug ya pini mbili -radio,kompyuta. Vipi usalama wa vifaa hivi ukilinganisa na vifaa vinatumia plug ya pini tatu?
Mara nyingi vinakuwa vimefunikwa na plastic sehemu kubwa na kama kuna chuma au bati, vinaukuwa havina muunganiko na sakiti ya umeme. Kinyume na hapo si salama sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom