El Nino isipokuja Samia arudishe hizo bilioni 700+

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,739
Reaction score
10,237
Mpaka sasa ni kama mvua ya mchongo ya ccm imeota mbawa, badala yake kutakuwa na ukame, sasa hizo bilioni 700+ zirudishwe haraka sana maana mmeanza kugawana tenda za mchongo.

Shame on you.
 
Hujaona wakuu wa wilaya wamenunua mafagio na mafyekeo mkuu?Ndo zishaenda hivyoo.Tuendelee kuombea Amani mashariki ya kati.
Mafagio ya mamilioni hahaha
Watu tunamkumbuka mwamba Jpm he always relay in God sahizi mpaka makanisa yanakosa imani na Mungu kwa kuogopa elnino.
 
Mpaka sasa ni kama mvua ya mchongo ya ccm imeota mbawa, badala yake kutakuwa na ukame, sasa hizo bilioni 700+ zirudishwe haraka sana maana mmeanza kugawana tenda za mchongo.

Shame on you.
Samia alizichukua kuifanyia Nini?

Pesa zote ziko allocated kWa sekta husika
 
Mwambie samia arudishe hela kmmk zake na mimacho yake utadhani anasuguliwa na chivayo
Mama yako ana kifuu???

Hebu kuwa mtu wa maana japo mara moja

Maandalizi ya El Niño ni muhimu iwepo aU isiwepo

Tunakata bima kwa kujiandaa Sio kurespond to situation
 
Endelea kulipa kodi TRA kwa ajili ya maendeleo ya nchi yako ewe mwananchi. Kuwa mzalendo.
 
Mpaka sasa ni kama mvua ya mchongo ya ccm imeota mbawa, badala yake kutakuwa na ukame, sasa hizo bilioni 700+ zirudishwe haraka sana maana mmeanza kugawana tenda za mchongo.

Shame on you.
Hela zishapigwa zamani sana kwenye maandalizi ya elninyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…