El classico 7th oct 2012

El classico 7th oct 2012

RMA wanafanya sub, anaingia Essien badala ya Di Maria
 
What a miss by Montoya....

Mpira unagonga mwamba.....
 
Free kick kuelekea lango la RMA......

Xavi anapiga................Deflection

Dakika 3 za nyongeza
 
baca wamepona!

mkuu kuna shot ya Montoya ilikula nguzo nahisi ulitaka kuzimia dah..back to football Real wangepoteza La liga ingepoteza mvuto Barca kukuacha point 11 ni ndoto kurecover
 
kumbuka wafungaji kwa upande wa Real Madrid ni CR7-RONALDO goli zote mbili na kwa upande wa Barcelona MESSI naye kapiga zote mbili
 
Kama Benzema asingekosa goli kabla ya Messi kurudisha matokeo yangekuwa tofauti isingekuwa rahisi kwa uefalona kurudisha
 
Back
Top Bottom