El Chapo Guzman is among the top 50 most influentual people on the planet.

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
6,002
19,468
Jarida la independent limeorodhesha majina 50 ya watu wenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani.

Cha ajabu katika orodha hiyo Bw. Guzman ambae ndie kiongozi wa mtandao wa wauza madawa ya kulevya huko mexico na ambae alitoroka jela mwezi wa 7 yumo.

Unaweza kujisomea mwenyewe hiyo orodha hapa chini.

http://www.independent.co.uk/news/business/power-list-2015-the-50-most-influential-people-in-the-world-a6738851.html
 
Back
Top Bottom