El achangia ujenzi wa shule ya kiislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

El achangia ujenzi wa shule ya kiislam

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Simba Mkali, Oct 16, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  EL.jpg Waziri Mkuu Mstaafu EL akiwasili Mwanga Kilimanjaro kwa ajili ya kuendesha harambee ya kukusanya michango kwa ajili ya shule ya Kiislam, EL alitoa milioni 10 kama mchango wake, Waziri Maghembe anaonekana nyuma yake (Picha na habari kwa hisani ya Michuzi blog).
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,387
  Trophy Points: 280
  bora kuwachangia hivyo ili waelimike waache kuchoma makanisa
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mfumo Kristo...
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  akikanyaga quran kwa bahati mbaya watachoma bunge
   
 5. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 6. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Aisee!
   
 7. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,872
  Likes Received: 1,560
  Trophy Points: 280
  Ponda siajaenda shule hata darasa moja mufti afanye mpango ampeleke hiyo shule
   
 8. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Ponda na makeke yake ya kipuuzi yoooote hajawahi kumgusa huyu jamaa

  ajaribu tusikie kitu
   
 9. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Napendekeza wapewe majengo mengine na serikali kwa ajili ya chuo kikuu kingine naona wako slow kujenga kwa nguvu zao ili wajifunze ustaarabu.
   
 10. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Napendekeza wakristo wawagawie baadhi ya mashule kwa masharti ya kutochoma makanisa!
   
Loading...