Ekari 50 za shamba zianuzwa kibaha

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
Shamba zuri la ekari 50 linauzwa kwa pamoja.
Ni mahala pazuri pia kwa mradi wa viwanja kwa wale wanaoona mbali na wenye uwezo au sehemu kwa ajili ya ujenzi wa taasisi za kielimu.
Lipo kilometa 4 kutoka barabara kubwa, Eneo ni tambarale.
Bei ya jumla kwa ekari zote 50 ni Tshs. 200M (Milioni mia mbili tu.)
 
Nikatie hekari 2 nikupe hela, hizo nyingine watanunua wengine pm fasta if u are willing.
 
Kibaha ni pana sana, liko kibaha eneo gani ukianzia maili moja? Shell, kwa mbonde, kwa mathias, etc. Lina hati au laa? Limeendelezwa nikimaanisha mazao na banda au liko katika hali gani. Na imagine kibaha 200,000,000/50=4,000,000!! Ila pia inategemea na mambo mengi kwa bei kama hii hasa kama halijapimwa. Bei hakuna maelewano mkuu?
 
Asante kwa kuuliza kwako,
Naomba nikujibu:
1.Kuelekea lilipo Unaingilia 'Visiga'-Barabara imechongwa Na ni kilometa 4 tu ndani.
2.Kwa sasa linalimwa Mazao ya Mahindi (Hakuna maendelezo yoyote ya zaidi.)
3.Linamilikiwa Kimila,Ushirikiano stahiki na wa kutosha utatatolewa kuhakikisha kufuatilia upimaji kwa mnunuzi.
4.Kwa ambae ataonyesha nia ya dhati mazungumzo yatakuwepo.

Asante.
 
Asante mkuu, n deal sana na kibaha inakua kwa kasi sana.
 
Nikatie hekari 2 nikupe hela, hizo nyingine watanunua wengine pm fasta if u are willing.
Ndugu, Mwenyewe analiuza lote kwa pamoja.
Lakini akitokea kubadili mawazo kuuza kwa vipandevipande nitawajulisha baada ya kuona mwitikio wa wadau.
Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom