Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]

Kumbuka fantasy yako! Itumie!
Imagine kama unashindana na huyo mwenzio, mdharau kimoyo moyo, kuwa hawezi kukushinda waweza muita **** kimoyo moyo au tusi lolote, jiambie that u want to enjoy n nothing else, be selfish for a while, amini usiamini itawork na mwenzio ataenjoy tu!

hahahahaaA....u made my day.....we ni fundiiiiii
 
Wakuu,nataka kuuliza hivi ni kweli maziwa mgando yanazuia kumwaga shahawa mapema naomba kujua ilo wenyeji wangu.
 
Zamani 2007 nilikuwa nakunywa sana mtindi na gemu nilikuwa napiga hadi 45mins ila kwa sasa kiwango kimeshuka sasa sijui kwa sababu cnywi mtindi au nimemzoea demu au stress za maisha au demu manjonjo kapunguza au damu inaanza kupoa au .....
 
duh watu mnashindwa tu kuwa waganga! eeh unafanyaje? unakunywa? unapaka? au unatumbukiza kwenye kikombe cha maziwa mgando? funguka zaidi

Jicho Tai nilidhani unaona zaidi juliko wengine kumbe la. Kijana anaomba msaada kuona je mtindi unasaidia kudelay ejaculation? Amesikia mahali hivyo anatafuta uthibitisho. Mthibitishie kama unajua ukweli.
 
Jicho Tai nilidhani unaona zaidi juliko wengine kumbe la. Kijana anaomba msaada kuona je mtindi unasaidia kudelay ejaculation? Amesikia mahali hivyo anatafuta uthibitisho. Mthibitishie kama unajua ukweli.

mtu amesema amesikia? kwa nini hakuuliza kwa huyo mtu aliyesikia akamwambia inakuwaje na kama angekuwa na uwalakini ndo angekuja hapa na taarifa kamili! si unajua mkuu no research no right to speak!
 
Mkuu hiyo ni psychological treatment zaidi na sio artificial solution inaweza kukusaidia. You can try it and see for yourself. Umeoa?
 
Back
Top Bottom