Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
eid mubarak to all my muslim brothers n sisters and may allah accept our fasts inshaallah n let not kill all the fadhlas of ramadhan within the first day of shaawal...lets remember thatno one is guaranteed of reaching the next ramadhan,,,
mwezi umeonekana huku chad, sudan, libya,ethiopia
BJ ... mwenzako nimefunga bana, kwangu mwezi haujaandama bado. Hiyo midomo itafanya swaumu yangu isi-swihi!
Ama hakika kesho nasi tutauona so sherehe zitakuwa Ijumaa na jmosi.Sijui sala ya Eid inafanyika wapi kitaifa nami nikaazime kanzu na koti kuwakilisha..nataka kuwa jirani na aisee jamvinii
Ama hakika kesho nasi tutauona so sherehe zitakuwa Ijumaa na jmosi.Sijui sala ya Eid inafanyika wapi kitaifa nami nikaazime kanzu na koti kuwakilisha..nataka kuwa jirani na aisee jamvinii
ssalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh, Ndugu wapenzi,
Tumefuatilizia sana kila pahali na tumepata taarifa kwamba mwezi haukuonekana popote duniani leo hii Jumatano tarehe 29 Ramadhaan 1431H (08-09-2010 M). Hivyo, kesho Alkhamiys tunakamilisha siku thalathini za Ramadhaan InshaAllaah, na Ijumaa (10-09-2010 M) itakuwa ni siku ya ‘Iydul-Fitwr.
Kwa Munaasabah huu wa furaha wa siku hii tukufu ya ‘Iyd Al-Fitwr tunapenda kuchukua fursa hii kuwawasilishia salaam zetu za siku hii na du'aa njema kwenu wote, tukimuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'ala) Atutaqabalie 'amali zetu na zenu ‘TAQABBALA ALLAAHU MINNA WA MINKUM' (Hivi ndivyo Maswahaba watukufu walivyokuwa wakiambiana pindi wanapokutana katika siku ya 'Iyd).
Na tunamuomba Yeye Aliyetukuka na Mweza, Awajaalie furaha, amani, mapenzi, siha na Iymaan pamoja na karama na utukufu katika masiku yote ya uhai wetu. Mwisho, bila kuwasahau wenzetu katika du'aa zetu leo na kila siku. Ndugu zetu Waislam waliopo palipokuwa Qiblah cha kwanza cha Uislam, na Msikiti wa tatu kwa utukufu na hadhi, Palestina. Na walio katika dhiki za ukandamizwaji, vita, njaa na machafuko huko Pakistan, Afghanistan, ‘Iraaq, Sudan, Somalia, Chechnya, Bosnia-Herzegovina, Kosovo, Philippine, Nigeria, Ethiopia, Eritrea, Kashmir na pote walipo Waislamu ulimwenguni.Tunamuomba Allaah (Subhaanahu Wa Ta'ala) Atutakabalie du'aa zetu na za Waislam wote duniani, Aamiyn.
Katika mizunguko yangu, leo hii nipo Songea, Jioni hii nimeuona mwezi umeandama, nimeoneshwa na kikundi cha watu waliokuwa wazungumzia suala hilo baada ya kuuona mwezi. Ilikuwa saa 12:50 hivi jioni. Kwa sasa anga ni giza, mwezi siuoni tena.:smile-big:Minal A'idina Minalfaidhina. What about TZ Muslims, any news on new moon?
http://www.huffingtonpost.com/2010/09/10/san-bruno-fire-location-explosion_n_711668.htmlWe umefunga ngapi mwenzangu mana mie nimemaliza mfungo? Mwezi umeshaonekana hapa, hivyo ndo sherehe zenyewe ikiwemo kujiremba!!..Eid njema ukiona mwezi))))
http://www.huffingtonpost.com/2010/09/10/san-bruno-fire-location-explosion_n_711668.html
Kujiremba kama hivi sio weye BJ!. Eid Mubaraka popote ulipo.