Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,706
- 8,676
- Thread starter
-
- #41
πππIjayo basiMama kwa jinsi tunavyokukubali tulitegemea ungetualika nyumbani kwako tujumuike pamoja kula sikukuu ya mtume wetu, huku tukitafakari mustakabali mzima wa jamii yetu na hawa kataa ndoa..!!
Kwahiyo mpo beach na baba? π
Hapana, hupokei mara mbilimbili, ni huko tu uliko kwa wakati huo.Hivi mama ina maana unapokea mtonyo wa daktari na mbunge na waziri? just asking.
By the way mi nakutakia kila lakheri mh. waziri ikiwezekana baraza lijalo uwepo tena.
AsanteWasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoniπ₯°, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... π€£ Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
Pole kwa kukosa mwaliko mheshmiwa. Tunasubir Kwa moyo mmoja mwaliko wako wa Pasaka ππΎWasaalam rafiki yetu....
Kwa kweli, baada ya kusubiri mwaliko wako mpendwa halafu hatukuoniπ₯°, mimi na mume wangu Advocate Gwajima, tumeamua kuja zetu utalii wa ndani Kawe Beach,
Tunawatakia Eid Mubarak.....
Ni hayo tu.... π€£ Kutoka familia ya Advocate Gwajima......
kaka yake na gwajiboy wa ukoo ndio amemuoa huyo MamaNahisi ni kutofuatilia siasa
Siku zote najua huyu member ana undugu na Gwajima yule pasta sijui
Nahisi ni kutofuatilia siasa
Siku zote najua huyu member ana undugu na Gwajima yule pasta sijui
kaka yake na gwajiboy wa ukoo ndio amemuoa huyo Mama
Pole Ngoja nikusaidie kama sitokuwa sawa Nitakosolewa.
1. Huyu Mama ni waziri alikuwa Afya Sasa ni Maendeleo ya Jamii ni Daktari MD( wa hospital)
Mbunge wa kuteuliwa wa JPM.
2. Mume wake ni Mwana sheria Advocate Gwajima. Ni Kaka wa Askofu Josephat Gwajima mbunge wa Jimbo la kawe.
3. Hawa wako poa sana ni Moja kati ya Cople bora sana kwa nje ila ya ndani siyajui.
Mama Naomba Msaada Ile ishu ya Dokta Donard Mbando.
Kataa ndoa wameingiaje hapaMama kwa jinsi tunavyokukubali tulitegemea ungetualika nyumbani kwako tujumuike pamoja kula sikukuu ya mtume wetu, huku tukitafakari mustakabali mzima wa jamii yetu na hawa kataa ndoa..!!
Kwahiyo mpo beach na baba? π
Hujambo? Ishu gani tena? Njoo sms 0765345777 unipe kwa ufupi maana sijakumbuka tafadhaliPole Ngoja nikusaidie kama sitokuwa sawa Nitakosolewa.
1. Huyu Mama ni waziri alikuwa Afya Sasa ni Maendeleo ya Jamii ni Daktari MD( wa hospital)
Mbunge wa kuteuliwa wa JPM.
2. Mume wake ni Mwana sheria Advocate Gwajima. Ni Kaka wa Askofu Josephat Gwajima mbunge wa Jimbo la kawe.
3. Hawa wako poa sana ni Moja kati ya Cople bora sana kwa nje ila ya ndani siyajui.
Mama Naomba Msaada Ile ishu ya Dokta Donard Mbando.
ShukraniNa wewe pia Mh Mrs Gwajima.
Yashapita tumekusamehe tugange yajayo..!!Sasa Baraza la tiba asili lilikuwa na kazi Gani kwani jamani.... Mwenyekiti ni professor anateuliwa na Rais na wajumbe wasomi kabisa na Sasa wameteuliwa tena na ni kwa mujibu wa sheria na sawa zilikuwa zinasaidia tu kama panado inavyosaidia haiponyi na zimesajiliwa na Baraza kupitia kwa mkemia mkuu wa serikali.... Sasa hapo ni uelewa au basi tu kisa mimi...
We nawe Kwender wa kuoa utakuwa wewe? ππΉNaomba ufungue PM yako π₯Ί