EID MUBARAK MEMBER WOTE WA HAPA!

EID MUBARAK MEMBER WOTE WA HAPA!

Na wewe pia mkuu,ila kututakia heri bila kutuwezesha kiuchumi haisaidii
 
MMU ni kifupisho cha mapenzi,mahusiano na urafiki mimi nimebase kwenye kipengele cha urafiki hivyo basi nyie kama marafiki zangu basi ndio maana nawatakia eid mubarak na pia nakaribisha mialiko kutoka kwenu.Thread is over!
Asante sana.. Pamoja nawe
 
Back
Top Bottom