Minal faidhina mtoto mwema uliyejua kusema mwana........ukiniona nimenyamza ujue sina.Nawe pia twakutakia Idd njema .
Nalog off
ni kweli kabisa,kuna jamaa ndio nampigia mahesabu makali nimuingie vipi ili anikopeshe!Ahaahahaha kama huna kakope lol
ni kweli kabisa,kuna jamaa ndio nampigia mahesabu makali nimuingie vipi ili anikopeshe!
Nalog off
akinitolea nje nitakuja kubonyea kwako.Naomba nikaribishe,mimi ni mlaji mzuri kabisa wa pilau nakuhakikishia ya kwamba sintodondosha hata punje moja ya pilau utakalonipa.
Nalog off
Wala usihofu nitakuja nayo na bila kuisahau ndizi,wewe mwenyewe utaikubali style yangu ya ulaji.Haahahaha usijali ila uje na chupa la maziwa maana pilau yangu ina pilipili hatari waweza samehe lol.