mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,730
- 57,894
moja ya maajabu ya Mungu.kwanini uonekane mkubwa na leo umeonekana nch 3 tu Qatar, UAE na Saudi hizi nchi nyingine kwa nini haujaonekana? na kwanini ukionekana nchi izo ambazo leo haujaonekana kwanini uonekane mkubwa?
Huu mwezi unatuchonganishe ee? haiwezekanu uonekane nch 3 tu dunia nzima
Hakuna miezi miwili duniani..Fungueni kwa kuona mwezi, nyie mmeona mwezi au mmepewa taarifa, kwanini mnatumia vyombo vya habari kusikia kuhusu mwezi ulioandama nchi tofauti na yako?
Mufti ametangaza?Kesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Mkuu kwanini Mungu auoneshe mwezi uarabuni tu alaf bara zima la Afrika wasiuone? bara zima la Amerca wasiuone bara zima la Asia wasiuoneHakuna miezi miwili duniani..
Ni swala la Elimu tuu. Hao wasoma dini ya kislam wengi hawataki kusoma na Elimu za sayansi hivyo akili zao zimekuwa zakukariri tu.
..
Mwezi unaweza kuonekana Dodoma ila Dar usionekane sio hakuwepo, laahasha, ila ni Swala la majira(Mwanga wa jua, mawingu, milima, humidity, n.k).
Nakumbuka mwaka flani nikiwa mdogo mkoani kilimanjaro kijiji nilichokuwepo tuliona mwezi ila hakukutangazwa kuwa ni Iddi kitaifa(hapa mfano utasemaje).
Ndo maana kamwe hutoona Nchi ambazo wameletea dini kama Saudia Arabia wanachangamoto hizi za Idd kwasababu ukiacha dini ila wanashirikisha na Sayansi
Pia kwa vile nchi yao ni jangwa hivyo kuandama kwa mwezi hunaonekana zaidi kwani hakuna mawingu jioni.
Mwezi ni mmoja mambo sijui eti uwepo kenya alafu Tz usiwepo ni ukosefu wa elimu tuu za sayansi na kubaki kuriri tu
CCM wanasemaje??Wafanyakazi wengi wanaomba iangukie Jumatatu
Mkuu suala la mwezi linautofauti kuanzia kwa Maimam wale wa 4 ambao Waislam wote wanawakubali hao maimamu.Idd ya ukweli ni ya kesho. Walianza tarehe 1 na wamemsliza tarehe 30. Hizo ni siku 30.
Idd ya jumapil ni ya BAKWATA, ambao ni tawi ka ccm. Walianza tarehe 2 na watamalza tarehe 31. Na mpaka watangaziwe na Mufti.
Yote kwa yote. Idd Mubarak
Secretary anasemaje?Tunasubiri amri ya Sirikali.
Kasongoo kesho lazma asemeIdd mubaraka
Wapenda kasongooo weee ... kesho kitaa shangweee .
Yaani hapa nipo naomba usionekane kabisaaaWafanyakazi wengi wanaomba iangukie Jumatatu
Wengine wanasubiri tamko la BakwataKesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.
Eid hii inakuja baada ya kuonekana mwezi wa shawwaal (mfungo Moshi ) ambao ni alama ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Taarifa za kuonekana mwezi wa shawwaali zimepatikana toka mataifa mbalimbali ya kiislamu ikiwa pamoja na Saudi Arabia, Qatar na Umoja wa Falme za kiarabu UAE.
Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم amesema: "fungeni kwa kuonekana mwezi, na fungueni kwa kuonekana mwezi, na mwezi ukifunikwa juu yenu(msiuone) kamilisheni siku thelathini)
Kunako majaliwa mimi nataraji kuswali swala ya Eid kesho asubuhi saa Moja na nusu katika uwanja wa Mandela mtaa wa Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro..
Namuomba Allaah azikubali ibada zetu za mwezi wa Ramadhani, na kwa rehema zake atupe uwezo na umri wa kuifikia Ramadhani ya mwaka ujao. Aammiyn.
Fungueni kwa kuonekana mwezi, kama mwezi haujaonekana katika nchi yako, wewe taarifa ya kuonekana mwezi umeitoa wapi, Quran inasema tumieni redio/darubini/TV kusikia habari ya kuonekana mwezi?Fungueni kwa kuonekana mwezi na Fungueni kwa kuonekaana mwezi, ukisema kuuona maana yake kipofu hawezi kufunga wala kufungua
Waislamu wa dunia nzima wote ni ndugu.Fungueni kwa kuona mwezi, nyie mmeona mwezi au mmepewa taarifa, kwanini mnatumia vyombo vya habari kusikia kuhusu mwezi ulioandama nchi tofauti na yako?
Saudi Arabia wanafuata kalenda, mwezi uonekane usionekane wanafunguaHakuna miezi miwili duniani..
Ni swala la Elimu tuu. Hao wasoma dini ya kislam wengi hawataki kusoma na Elimu za sayansi hivyo akili zao zimekuwa zakukariri tu.
..
Mwezi unaweza kuonekana Dodoma ila Dar usionekane sio hakuwepo, laahasha, ila ni Swala la majira(Mwanga wa jua, mawingu, milima, humidity, n.k).
Nakumbuka mwaka flani nikiwa mdogo mkoani kilimanjaro kijiji nilichokuwepo tuliona mwezi ila hakukutangazwa kuwa ni Iddi kitaifa(hapa mfano utasemaje).
Ndo maana kamwe hutoona Nchi ambazo wameletea dini kama Saudia Arabia wanachangamoto hizi za Idd kwasababu ukiacha dini ila wanashirikisha na Sayansi
Pia kwa vile nchi yao ni jangwa hivyo kuandama kwa mwezi hunaonekana zaidi kwani hakuna mawingu jioni.
Mwezi ni mmoja mambo sijui eti uwepo kenya alafu Tz usiwepo ni ukosefu wa elimu tuu za sayansi na kubaki kuriri tu
Je Bakwata watakubaliKesho jumapili ya tarehe 30 march 2025 ni sikukuu ya Eid Al fitri kwa waislamu wote duniani.