wakuu habari zenu , kama kichwa cha habari hapo juu .naomba munieleweshe kuhusu hizi bus za india uzuri wake na ubaya wake kwani sasa hivi nipo india nimeziona na bei zake sio mbaya , nimeingiwa na hamu kuchukua je wakuu spea zake zipo na vipi umazubuti wake unaridhisha asanteni wakuu