Eheheeeee ahahaaaaa siipendi chit chat

Jamaa karudi home usiku wa manane. Moja kwa moja akazama chumbani, akafunua blanketi, akaiona miguu minne badala ya miwili aliyozoea. Jamaa akafunika blanketi taaratibu, akachukua bonge la
rungu, akaitwanga ile miguu kwa nguvu zote halafu akaelekea sebuleni kutuliza hasira. Kutahamaki akamkuta mkewe amejipumzisha sebuleni. Mkewe akamwambia: Wazazi wako wamekuja leo
kututembelea, nimewaachia
chumba chetu walale
 
Jamaa mmoja alikua anatongoza demu. Wakati akitongoza uume wake ukawa umesimama. Kwa hasira jamaa akafungua zipu akaitoa nje kisha kwa hamaki akasema "tongoza mwenyewe basi kwa sababu una haraka sana".​

Hahahahaha khaaa
 
Mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama Wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea ni Agustino Fundi Majeneza.​
 
mdada kachukua simu ya mpenzi wake akaibip ili aone mpenzi wake kamsev kwa jina gani. Akajua litatokea jina kama wife, honey, sweety au mpenzi. Lahaula jina lililotokea ni agustino fundi majeneza.​
kwi kwo kwu kwa kwe
 
Hahahaaaa smile hapa umetisha
 
Mchaga mmoja alikuwa anafuatilia mahubiri Kanisani akiwa na rafiki yake...... Mchungaji akasema Yesu amepaa mbiguni kutuandalia kila mmoja jengo zuri la kukaa peponi.....Kusikia hivyo yule mchaga akamgeukia rafiki yake akamuambia tukifika peponi si tuishi pamoja ili jengo mmoja tupangishe tuzichange fedha.
 
cheka unenepe mwaya,njo smile tutekenyane weeee usiku kucha mpaka vicheko viishe
 
Mama Mjamzito anatarajia kujifungua mapacha watatu, mapacha wanadiscuss tumboni..​

1: Mi ntakuwa Fundi umeme, kuna giza sana huku

2: Mi ntakuwa Fundi bomba kuna unyevu sana huku

3: Mi ntakuwa Mwindaji, na yule nyoka akija tena huku, ntamkata kichwa..!
​
 
"Ingekua mtu kila anapozini anatoka kitundu wengine mngekua kama neti humu" Smile

lol
 

Khaaaaaaa!
 
Ha ha haaaaaa.....
 
walevi wawili wameokota kioo njiani.
Mlevi wa kwanza kakichukua na kukiangalia akajiona yeye: huyu jamaa km namjua vile jina lake tu limenitoka.
Wa pili kakichukua na kujiangalia: we chizi kweli huyu si mimi huyu!!
 

haah haaah haaah haaaah haaaah unanivunja mbavu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…