Eh Mungu

Eh Mungu

Utusamehe pia wachafuaji wa thread na wachangia kila thread
Uwaongezee pia matusi mapya mapya maana haya matusi ya kahaba,malaya yameishiwaa ladhaa ,pia wasamehe waliopewaa ban za mie 6
,pia nawaombea wabeba box wote wasinyimwe haki yao msingii na wanaopinga hilii uwafanye hanithii woteeeeeeeee
AMINAAA
 
Migogorooooo na migombanoooo ... Makaziniii ni ukosefu wa nidhamu
 
uchi?? we unaujua uchi??

hebu weka picha tuone..

Usamehewe kutuwekeaa picha ya kabamiaa bora ungeweka libamiaa subiri Tyta aje atakuwekeaa picha na video kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
uwasamehe mabazazi wote,

Walikukosea kwa sababu ya uumbaji wako tukufu uliotukuka.

Hawakuwa na jinsi kwakuwa majaribu ni mengi na warembo wamegoma kusema 'NO'. Uumbaji wako hakuna bazazi anayeweza kutoutendea haki.

Na sisi tuliobaki duniani, uzidi kutuletea vitu vikali zaidi na zaidi. ili hata tukikanyaga mawaya, tuyakanyage kwa haki na kufaidi kwa kina.

Utuepushe na vishawishi vya madenti. Jela si salama kwa mabazazi.

Tunapokuwa tunafanya ubazazi, ufumbe macho usituone, ili kwa wema wako upate kutusamehe siku ya mwisho.

Daima na milele.

CC KakaKiiza, Kaizer
Duniani kuna viumbe!
 
Two assumptions, 1. Amekata tamaa ya maisha ya sasa na yajayo 2. Sauti ya Mungu ndani mwake (ile sauti ndogooo ambayo mara zote hukukataza kutenda maovu) imepotea kabisa. Sasa cha muhimu ni kumuombeana tu.

Siku utakapokula wali mweupe ndo siku utakapojua ni bora kwanza utoe boriti ndani ya jicho lako, ndipo utakapoona kibanzi kwenye jicho la mwenzako.
 
ee mtakatifu mtakatifu baba wa mbinguni mwenye uwezo nguvu na mamlaka yote tunakuja kwako baba mwenye rehema okoa kizazi hiki cha watz wa JMK tukivunja nira za kila aina esp MICHEPUKO na ADULTERY vimekithiri sana ktk nchi hii ya JMK, nchi inayohitaj huruma yako aimeen!!!
 
Utusamehe pia wachafuaji wa thread na wachangia kila thread
Uwaongezee pia matusi mapya mapya maana haya matusi ya kahaba,malaya yameishiwaa ladhaa ,pia wasamehe waliopewaa ban za mie 6
,pia nawaombea wabeba box wote wasinyimwe haki yao msingii na wanaopinga hilii uwafanye hanithii woteeeeeeeee
AMINAAA
pia rehemu the deceitful tongue of some ppo n sinners ili atleast ule moto wa jehamamu unaosemekana ni mkali mara 7 ya moto wa kawaida uwachome walau mara 6 tu ame
 
Back
Top Bottom