Eh Mungu

Eh Mungu Utusamehe dhambi zetu

Utukinge na moto wa milele,

Uongoze roho zetu Mbinguni

Hasa za wale wanaohitaji zaidi huruma yako.

uwasamehe mabazazi wote,

Walikukosea kwa sababu ya uumbaji wako tukufu uliotukuka.

Hawakuwa na jinsi kwakuwa majaribu ni mengi na warembo wamegoma kusema 'NO'. Uumbaji wako hakuna bazazi anayeweza kutoutendea haki.

Na sisi tuliobaki duniani, uzidi kutuletea vitu vikali zaidi na zaidi. ili hata tukikanyaga mawaya, tuyakanyage kwa haki na kufaidi kwa kina.

Utuepushe na vishawishi vya madenti. Jela si salama kwa mabazazi.

Tunapokuwa tunafanya ubazazi, ufumbe macho usituone, ili kwa wema wako upate kutusamehe siku ya mwisho.

Daima na milele.

CC KakaKiiza, Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Eh Mungu Utusamehe dhambi zetu

Utukinge na moto wa milele,

Uongoze roho zetu Mbinguni

Hasa za wale wanaohitaji zaidi huruma yako.

Aamen!
Utujaalie tuache matusi. Aamen!
Utupunguzie kukwaruzana na kila memba hapa. Aamen!
Utujaalie busara. Aamen!
Utupe uelewa kwamba mawazo yetu hayafanani. Aamen!
Utujalie kutokoment kwenye sired tusizokubaliana nazo. Aamen, aamen, aamen!
 
oh LORD, i am so weak from temptations..

nani alaumiwe jamani?

 
naogopa kuitikia hii dua sijua maombi babu. Lol
 
Last edited by a moderator:

Kila siku unazidi kuchanganyikiwa.Kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
morning to you best, mi sijakusahau bhana..

kulaleki, aliyekuweka ndani naona kakuvunja mguu wa kutembelea majirani! lols!

i hope uko wa afya kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…