Field Marshal al-Sisi is right. Jamaa ni terrorist-supported.Ila alsis mshenzi sanaaa
Africa ni Africa tu. Kosa kubwa la Mungu ni kuumba Africa!View attachment 434668
Mahakama nchini Misri imefuata hukumu ya kifo aliyohukumiwa rais aliyepinduliwa mwaka 2013, Mohammed Morsi. Mahakama imeagiza kesi hiyo isikilizwe upya.
Morsi alikumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika kuwatorosha wafungwa wengi wakati wa mapinduzi ya mwaka 2011.
Alichaguliwa kuwa rais mwaka 2012 lakini akaondolewa na jeshi mwaka mmoja baadaye, kufuatia maandamano makubwa ya kupinga utawala wake.
Morsi ameshahukimiwa kifungo cha maisha jela kwa mashtaka yanayohusu ugaidi na bado anakabiliwa na mashtaka kwa makosa mengine.
========================
Egypt's Court of Cassation has overturned a death sentence against the country's deposed president Mohamed Morsi and ordered a retrial, according to reports.
The country's first democratically elected president, Morsi was overthrown by a military coup in July 2013 after having served just one year of a four-year term.
The organisation to which he belonged, the Muslim Brotherhood, has since been outlawed. A government crackdown on the movement, as well as other groups, has resulted in tens of thousands of arrests and mass trials.
Morsi was tried in an Egyptian court on several charges, including one of escaping prison during the 2011 uprising against then-president Hosni Mubarak.
He was also accused of sharing state secrets with foreign powers, including Qatar. His defence argued that he was merely engaging all foreign entities within the limits that any head of state would.
Hundreds of death sentences
Morsi was given several sentences, including life, a 20-year prison term and the death penalty. He appealed against those sentences, but has already had the 20-year term confirmed by an Appellate Court.
Human Rights Watch and Amnesty International have argued that the trials carried out by the government of Abdel Fattah el-Sisi, who led the coup against Morsi, have been political in nature and violated the rights of thousands of Egyptians.
Mass trials have sentenced hundreds of Egyptians to death. Rights groups have also called attention to the prison abuse in Egypt's detention system.
Morsi himself has in the past abstained from eating prison food, out of fear for his life.
Source: Aljazeera
Wewe morsi alichaguliwa na watu.alaf alsis akaja kumpindua na aliwauwa kweli wamisri.huyu jamaa mpaka wazungu wana mkwepa kauwa sanaaaField Marshal al-Sisi is right. Jamaa ni terrorist-supported.
Mkuu unaweza nieleza yalitokea nini kati yake na obama?Morsi alidanganywa na obama,sasa kumbe majenerali hawapendi ujinga ujinga,yamemkuta ya kumkuta sasa,atakaa sana lokapu huyu mzee
kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..Mkuu unaweza nieleza yalitokea nini kati yake na obama?
Nashukuru sana mkuu kwa maneno yako fasaha. Ila ni muda sisi waafrika kujitawala kiakili sio kila siku kufata mkumbo tuu bila hata ya kujua historia yetu na tulipotoka.kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..
Story ndo ilianzia hapo,obama alikuwa na mpango ukiongozwa na CIA,kuwapiga chini badhi ya watawala wa nchi za kiarabu kama mubaraka,gadaf,asad,abdul salehe etc,
hapo ilikuwa kabla ya ISIS,walipanga kuwatumia MUSLIM BROTHERHOOD,
hawa ndo walianzisha ile sokomoko ya maandamano ya kupindua tawalaza misri,tunisia,yemen,syria etc.
Morsi alikuwa mmoja wa viongozi wa muslim brotherhood aliyechomolewa toka jela ili kuongoza arab uprising na kumpindua mubaraka.
Obama na mwenzake hillary clinton ndo walikuwa vinara wa hizo harakati,
in summary
Lakini mkuu mbona baadhi ya watu humu wanasema sababu ya orsi kuondolewa madarakani ni kutokana na kutokuwa na mda na wamarekani hivyo lengo lao halikutimia ikabidi wafanye tena umafia na kweli akapinduliwa? hizi habari si za kweli?kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..
Story ndo ilianzia hapo,obama alikuwa na mpango ukiongozwa na CIA,kuwapiga chini badhi ya watawala wa nchi za kiarabu kama mubaraka,gadaf,asad,abdul salehe etc,
hapo ilikuwa kabla ya ISIS,walipanga kuwatumia MUSLIM BROTHERHOOD,
hawa ndo walianzisha ile sokomoko ya maandamano ya kupindua tawalaza misri,tunisia,yemen,syria etc.
Morsi alikuwa mmoja wa viongozi wa muslim brotherhood aliyechomolewa toka jela ili kuongoza arab uprising na kumpindua mubaraka.
Obama na mwenzake hillary clinton ndo walikuwa vinara wa hizo harakati,
in summary
Ni kweli kabisa.. baada ya mission kuisha wakaona hana maana wakatumia tena propaganda za kuwatoa muslimu brotherhood...kumbuka baada ya obama kushinda urais 2008,alitembelea misri na kuwahutuibia waislamu na kuwaaminisha kuwa nchi za magharibi haziko vitani na waislamu blah blah..
Story ndo ilianzia hapo,obama alikuwa na mpango ukiongozwa na CIA,kuwapiga chini badhi ya watawala wa nchi za kiarabu kama mubaraka,gadaf,asad,abdul salehe etc,
hapo ilikuwa kabla ya ISIS,walipanga kuwatumia MUSLIM BROTHERHOOD,
hawa ndo walianzisha ile sokomoko ya maandamano ya kupindua tawalaza misri,tunisia,yemen,syria etc.
Morsi alikuwa mmoja wa viongozi wa muslim brotherhood aliyechomolewa toka jela ili kuongoza arab uprising na kumpindua mubaraka.
Obama na mwenzake hillary clinton ndo walikuwa vinara wa hizo harakati,
in summary
Hakuna sheria ya kifo kaka, kuna hukumu ya kifo......Duuuh hii sheria ya kifo lakini Mimi sijawai kuikubali hata kidogo
mi naielewa sana.Duuuh hii sheria ya kifo lakini Mimi sijawai kuikubali hata kidogo
wamarekani walikwa washamchoka mubarak,kama unakumbuka hata wakati uprising ikianza,mubarak aliomba msaada marekani ili wamsaidia kuzima maasi,obama alimwambia aachie ngazi kwa macho makavu,Lakini mkuu mbona baadhi ya watu humu wanasema sababu ya orsi kuondolewa madarakani ni kutokana na kutokuwa na mda na wamarekani hivyo lengo lao halikutimia ikabidi wafanye tena umafia na kweli akapinduliwa? hizi habari si za kweli?
Unaweza kunieleza uhusiano wa mubarak na marekani ulivyokua?
Kibaraka cha Marekani yuleField Marshal al-Sisi is right. Jamaa ni terrorist-supported.
Hebu tufafanulie Mkuu....!!Morsi alidanganywa na obama,sasa kumbe majenerali hawapendi ujinga ujinga,yamemkuta ya kumkuta sasa,atakaa sana lokapu huyu mzee