hakuna tofauti kati ya unayoita maswali yako na alichoandika mkuu hapo juu.swali lakobnibkm umehamisha swali hoja alilotoa unaedhani unamuuliza.ie.akili ya uvumbuzi ya waafrika ulipotelea wapi.hebu wacha ubishi usio na tija ww, hebu nijibu na haya ,karne ya 15 sudan ilikuwa na kiwanda cha pamba bora kuliko vyote duniani kwa wakati huo, ucsahau pia hukohuko sudan kulikuwa na wahunzi bora ambao dunia haijapata kushuhudia mpaka leo, swali rahisi tu wamepotelea wapi,ama ilikuwaje, ukiweza jibu hayo tutaendelea, maana huwa mnashangaza nyie watu, huko shule sijui mlienda kusomea ujinga kama asemavyo dada yangu faiza
sorry mkuu kama nimekukwaza ,lakini hebu tuanzie hapo ,hii akili waliokuwa nayo babu zetu imeenda wapi leo hii, ni kweli haipo tena ama ipo ila twajitia hatuioni..??hakuna tofauti kati ya unayoita maswali yako na alichoandika mkuu hapo juu.swali lakobnibkm umehamisha swali hoja alilotoa unaedhani unamuuliza.ie.akili ya uvumbuzi ya waafrika ulipotelea wapi.
tafuta swali lako lingine na uulize tena bila maneno ya dhihaka na kashfa.
Wewe kwa upeo wako huo tu sidhani kama unaweza kumfundisha mtu akaelewa..... Majumba na Uumbaji wapi na wapi?tafsir ya vitu vyote siyo hiyo unayodhani.yaani hata majumba nk.
tizama nlomnukuu na kumquot aliandika nnWewe kwa upeo wako huo tu sidhani kama unaweza kumfundisha mtu akaelewa..... Majumba na Uumbaji wapi na wapi?
Kkkkk sawa kiongozi,Fanya hivyo.mkuu usikwende, mm nakurudisha ili u-log on, teh
samahani bt kitambo akili zilikuwepo due to genes.kwa sasa zimepungua due to radiation from sunsorry mkuu kama nimekukwaza ,lakini hebu tuanzie hapo ,hii akili waliokuwa nayo babu zetu imeenda wapi leo hii, ni kweli haipo tena ama ipo ila twajitia hatuioni..??
that's true brother they are not alone(whites),i always believe that the aliens whites talk about,is probably black man indeed .Only a naive still believe that we're alone in this Universe
We are not alone,but in case of pyramid I don't think so
I'm not quite sure if ancient egyptians kept not any written document about construction of pyramid,because even bible acknowledge it
Historically,pyramid were built by Jew's servants but I ain't sure
Egyptians were ahead of their time,they had formidable knowledge and sophisticated technology perhaps more advanced than ours.
They didn't need any alien's wisdom at all,they were smarter enough to built those gigantic structure alone,I guess
inasemekana ni watu/viumbe vilivyotoka ulimwengu mwingine na kuja duniani... .. . hapo zamani walikuwa wanatua misri ila kwa sasa wana kambi yao USA/Area 51.Hao alien ndio Nani????
Ahsanteinasemekana ni watu/viumbe vilivyotoka ulimwengu mwingine na kuja duniani... .. . hapo zamani walikuwa wanatua misri ila kwa sasa wana kambi yao USA/Area 51.
hii umeitolea wapi boss, kwa maana hiyo jua lipo kwetu tu ila kwa wazungu hakuna au kwa kuwa sisi ni hyperpigmented with melanin,nadhani unatania ....!!!samahani bt kitambo akili zilikuwepo due to genes.kwa sasa zimepungua due to radiation from sun
kila mtu zimepungua sisemi sisi wafrica pekee.maybe hautakubalia na ii bt we as africa we didnt evolve or originate from same source as other races.hii umeitolea wapi boss, kwa maana hiyo jua lipo kwetu tu ila kwa wazungu hakuna au kwa kuwa sisi ni hyperpigmented with melanin,nadhani unatania ....!!!
Other races evolved from Africans.kila mtu zimepungua sisemi sisi wafrica pekee.maybe hautakubalia na ii bt we as africa we didnt evolve or originate from same source as other races.
Only a naive still believe that we're alone in this Universe
We are not alone,but in case of pyramid I don't think so
I'm not quite sure if ancient egyptians kept not any written document about construction of pyramid,because even bible acknowledge it
Historically,pyramid were built by Jew's servants but I ain't sure
Egyptians were ahead of their time,they had formidable knowledge and sophisticated technology perhaps more advanced than ours.
They didn't need any alien's wisdom at all,they were smarter enough to built those gigantic structure alone,I guess
- mm nakupinga kwa kuwa hata pale pale kwenye pyramids kuna mchoro wa helicopter na mchoro wa space astronaught sasa hao binadamu waliyojenga hizi pyramids ina maana walishawahi endesha helicopter na kutoka out of space?Binadamu bhana! Michoro inayoonyesha watumwa wakijenga hayo mapyramid ipo & ushahidi wa zilivyojengwa upo. Sasa, hao Allien walijenga kipindi binadamu hawapo? Na ili iweje? Hypothesis zingine ni upuuzi.
-HII elimu ya magharibi inakuharibuWatu wameanza kuleta ligi ya mtu 'mweusi' na mzungu badala ya kujadili hoja za ujenzi wa pyramids, kama walijenga aliens au mwafrika awe wa kahawia, wa manjano au mweusi it doesn't really matter, swali ni when, how and why?
- acha ubwege ww sasa kama ni hivi na mm nitakuuliza hao waliowafundisha wamisri ustaarabu wao wao walifundishwa na nani ustaarabu walikokuwa nao mpaka ukawafikia wamisri? ukiendelea hivyo ...... utakuwa kichaa mbona ni simple we africans were great since ancient times no time to rest AFU ACHA WIVUUUUUU KWANI WE MZUNGU AU HAUJIKUBALI?Wamisri wao walifundishwa na nani ustaarabu wao?