Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

hebu wacha ubishi usio na tija ww, hebu nijibu na haya ,karne ya 15 sudan ilikuwa na kiwanda cha pamba bora kuliko vyote duniani kwa wakati huo, ucsahau pia hukohuko sudan kulikuwa na wahunzi bora ambao dunia haijapata kushuhudia mpaka leo, swali rahisi tu wamepotelea wapi,ama ilikuwaje, ukiweza jibu hayo tutaendelea, maana huwa mnashangaza nyie watu, huko shule sijui mlienda kusomea ujinga kama asemavyo dada yangu faiza
hakuna tofauti kati ya unayoita maswali yako na alichoandika mkuu hapo juu.swali lakobnibkm umehamisha swali hoja alilotoa unaedhani unamuuliza.ie.akili ya uvumbuzi ya waafrika ulipotelea wapi.
tafuta swali lako lingine na uulize tena bila maneno ya dhihaka na kashfa.
 
sorry mkuu kama nimekukwaza ,lakini hebu tuanzie hapo ,hii akili waliokuwa nayo babu zetu imeenda wapi leo hii, ni kweli haipo tena ama ipo ila twajitia hatuioni..??
 
tafsir ya vitu vyote siyo hiyo unayodhani.yaani hata majumba nk.
Wewe kwa upeo wako huo tu sidhani kama unaweza kumfundisha mtu akaelewa..... Majumba na Uumbaji wapi na wapi?
 
sorry mkuu kama nimekukwaza ,lakini hebu tuanzie hapo ,hii akili waliokuwa nayo babu zetu imeenda wapi leo hii, ni kweli haipo tena ama ipo ila twajitia hatuioni..??
samahani bt kitambo akili zilikuwepo due to genes.kwa sasa zimepungua due to radiation from sun
 
how prymaid was built why and how?circa?10.600 B.C.E or 12.600 years ago. The entire
complex was built for a period of approximately 100
years.
It was built by the local people. The area then was
similar to United States today in that it was a melting
pot of many cultures.
Why? As a gravestone. These people knew their
civilization would end and while many projects were to
act as time capsules this one was built as a sort of
memorial. In its vicinity were and still are records and
caches of artifacts.
How? They used a principle of magnetism to effectively
levitate the stones, onto ships from the quarry and then
onto their place. They also use a chemical substance to
soften the stone for ease of cutting.
Both the substance and the devices used were relatively
simple appliances.
 
Only a naive still believe that we're alone in this Universe

We are not alone,but in case of pyramid I don't think so

I'm not quite sure if ancient egyptians kept not any written document about construction of pyramid,because even bible acknowledge it

Historically,pyramid were built by Jew's servants but I ain't sure

Egyptians were ahead of their time,they had formidable knowledge and sophisticated technology perhaps more advanced than ours.

They didn't need any alien's wisdom at all,they were smarter enough to built those gigantic structure alone,I guess
that's true brother they are not alone(whites),i always believe that the aliens whites talk about,is probably black man indeed .
The specification and evidence of existence of this society is quite complicated; is like the whites want to hid something or to foul the world in other factor
 
samahani bt kitambo akili zilikuwepo due to genes.kwa sasa zimepungua due to radiation from sun
hii umeitolea wapi boss, kwa maana hiyo jua lipo kwetu tu ila kwa wazungu hakuna au kwa kuwa sisi ni hyperpigmented with melanin,nadhani unatania ....!!!
 
hii umeitolea wapi boss, kwa maana hiyo jua lipo kwetu tu ila kwa wazungu hakuna au kwa kuwa sisi ni hyperpigmented with melanin,nadhani unatania ....!!!
kila mtu zimepungua sisemi sisi wafrica pekee.maybe hautakubalia na ii bt we as africa we didnt evolve or originate from same source as other races.
 
Only a naive still believe that we're alone in this Universe

We are not alone,but in case of pyramid I don't think so

I'm not quite sure if ancient egyptians kept not any written document about construction of pyramid,because even bible acknowledge it

Historically,pyramid were built by Jew's servants but I ain't sure

Egyptians were ahead of their time,they had formidable knowledge and sophisticated technology perhaps more advanced than ours.

They didn't need any alien's wisdom at all,they were smarter enough to built those gigantic structure alone,I guess

-you guess? hamunaga evidence kwamba jew's ndiyo walitengeneza pyramid of giza hiyo ni conspiracy tu na nataka nikwambie kuwa jews were not smart races of all and r not untill now huo ni uzushi tu wa watu kwa mfano kama wangekuwa smart enough na kama technology yao ilikuwa aheard of us wangeshaacha evidences kuwa technology yao ilikuwa aheard of us nafikiri ungesema labda greeks na romans ningekuelewa kwa kuwa walishafanya mambo makubwa tu
 
Binadamu bhana! Michoro inayoonyesha watumwa wakijenga hayo mapyramid ipo & ushahidi wa zilivyojengwa upo. Sasa, hao Allien walijenga kipindi binadamu hawapo? Na ili iweje? Hypothesis zingine ni upuuzi.
- mm nakupinga kwa kuwa hata pale pale kwenye pyramids kuna mchoro wa helicopter na mchoro wa space astronaught sasa hao binadamu waliyojenga hizi pyramids ina maana walishawahi endesha helicopter na kutoka out of space?
 
Watu wameanza kuleta ligi ya mtu 'mweusi' na mzungu badala ya kujadili hoja za ujenzi wa pyramids, kama walijenga aliens au mwafrika awe wa kahawia, wa manjano au mweusi it doesn't really matter, swali ni when, how and why?
-HII elimu ya magharibi inakuharibu
 
Wamisri wao walifundishwa na nani ustaarabu wao?
- acha ubwege ww sasa kama ni hivi na mm nitakuuliza hao waliowafundisha wamisri ustaarabu wao wao walifundishwa na nani ustaarabu walikokuwa nao mpaka ukawafikia wamisri? ukiendelea hivyo ...... utakuwa kichaa mbona ni simple we africans were great since ancient times no time to rest AFU ACHA WIVUUUUUU KWANI WE MZUNGU AU HAUJIKUBALI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom