makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,341
- 3,620
Ni kweli.....lkn ameeleweka....picha au MICHORO ?..maana miaka hiyo ya kujengwa PYRAMIDS sidhani km kulikua na CAMERA
Ni kweli.....lkn ameeleweka....picha au MICHORO ?..maana miaka hiyo ya kujengwa PYRAMIDS sidhani km kulikua na CAMERA
Kwa hiyo kumbe waebrania mpaka wanakua watumwa tayari pyramids zilishajengwa.kumbe ingekuwa amri yao wangesema zimejengwa na hao watumwa.Kuhusu asili ya waebrania; wao ni semitics asili sawa na waarabu na watu wengine wa mashariki ya kati
Umeandika ukweli kabisa. Kuna mtafiti kutoka Senegal, somebody Dr Diop, alifanya utafiti na kutoa sababu 10 na ushahidi kuwa Pharaos were blacks. But whites wanajitahidi kupita huu ukweli, sasa hivi wanasema Egyptians where not whites nor blacks. Aliwashinda kwa hoja huyu mtafiti, lakini wameenda mbali na kujitahidi kuficha haya maarifa na kuua kabisa suala zima la Afrocentrism. Inasikitisha sana.Tena michoro haiku ignore rangi ya ngozi ya wajenzi. Na rangi ndio tatizo wazungu wanashindwa kucome into agreement with it that black men did it, they even tried to destroy the bantu's nose and lips on those huge statues, you can see the destruction, fortunately them rocks were hard as steel, they couldn't wipe all the nose and lips of all the statues that extended to southern Sudan.
And this is why wanakuja na masuala ya aliens, Jews etc. Stupid scared deceivers
Not only that.. Wazungu walijitahidi sana kuficha ukweli kuwa majengo ya mawe ya Great Zimbabwe yalijengwa na waafrika. Tena serikali ya Smith wakati huo ililazimisha wana akiolojia kusema yalijengwa na watu wa Asia. Ingawa ukweli ulijulikana baadae ila mpaka leo wazungu hawataki kuamini kuwa waafrika ndio chanzo cha binadamu na elimu.Umeandika ukweli kabisa. Kuna mtafiti kutoka Senegal, somebody Dr Diop, alifanya utafiti na kutoa sababu 10 na ushahidi kuwa Pharaos were blacks. But whites wanajitahidi kupita huu ukweli, sasa hivi wanasema Egyptians where not whites nor blacks. Aliwashinda kwa hoja huyu mtafiti, lakini wameenda mbali na kujitahidi kuficha haya maarifa na kuua kabisa suala zima la Afrocentrism. Inasikitisha sana.
Not only why, but how and when?Why would aliens build those structure in a foreign land???
Wamisri wao walifundishwa na nani ustaarabu wao?Not only that.. Wazungu walijitahidi sana kuficha ukweli kuwa majengo ya mawe ya Great Zimbabwe yalijengwa na waafrika. Tena serikali ya Smith wakati huo ililazimisha wana akiolojia kusema yalijengwa na watu wa Asia. Ingawa ukweli ulijulikana baadae ila mpaka leo wazungu hawataki kuamini kuwa waafrika ndio chanzo cha binadamu na elimu.
Piramidi zilijengwa na waafrika.. Na kwa kuwa waMisri wa kale hawakutaka kuficha rangi yao hata michoro inaonyesha walikuwa watu weusi. Tena farao aliyeunganisha Misri ya kaskazini na kusini alikuwa Mnubi wa Sudan.
Kinachowauma zaidi wazungu ni kuwa elimu yao imetokana sana na elimu ya kale ya wagiriki.. Na wagiriki walifundishwa hekima na wamisri. Rejea pythogas theorem.
HAlafu utafikiri hao Alliens alishawahi kuwaona...Binadamu bhana! Michoro inayoonyesha watumwa wakijenga hayo mapyramid ipo & ushahidi wa zilivyojengwa upo. Sasa, hao Allien walijenga kipindi binadamu hawapo? Na ili iweje? Hypothesis zingine ni upuuzi.
Wanasema allien mmoja ana uzito wa kg 650 sasa hapo ina maana hakufa hata mmoja na kuvukuliwa tumuone.
Egyptian wenyewe ndio walijenga pyramids story zingine tutaendelea kuzisikia tu kila siku
Pyramids zipo mpaka Sudan na Ethiopia, kama ni swala tu na mtu mweusi kujenga pyramids basi hizo za huko zinamaliza mjadala kuhusiana na ushiriki wa mtu mweusi kwenye kujenga pyramidsWakuu nilikuwa sifahamu kumbe pyramid zimejengwa na Blacks?
Nilikuwa najiuliza jinsi waebrania walivyokuwa na miili dhaifu+uvivu,wangeweza kweli kujenga structure kama zile?
Nasikia hata taa(light bulb) Haikugunduliwa na Thomas Edison bali Mbantu fulani aliyeipeleka hiyo knowledge misri
Ha ha ha! Hizi story za alliens ni za muda sana. Na mimi nina hamu ya kuwaona hao alliens.HAlafu utafikiri hao Alliens alishawahi kuwaona...
Hizo 3 pyramids at Giza Tukisema walijenga binadamu.. Tunajua walijenga kwa sababu gani.Pyramids zipo mpaka Sudan na Ethiopia, kama ni swala tu na mtu mweusi kujenga pyramids basi hizo za huko zinamaliza mjadala kuhusiana na ushiriki wa mtu mweusi kwenye kujenga pyramids
The question in hand, however, is the three pyramids in Giza
Huko nyuma nimeuliza sio sababu tu za ujenzi, bali zilijengwaje/how na zilijengwa lini, na tuongezee na nani?Hizo 3 pyramids at Giza Tukisema walijenga binadamu.. Tunajua walijenga kwa sababu gani.
Tukisema walijenga aliens..... je walijenga kwa sababu gani?
Pyramids zipo mpaka Sudan na Ethiopia, kama ni swala tu na mtu mweusi kujenga pyramids basi hizo za huko zinamaliza mjadala kuhusiana na ushiriki wa mtu mweusi kwenye kujenga pyramids
The question in hand, however, is the three pyramids in Giza
Mkuu we mwenyewe huna uhakika wa mwaka gani zilijengwa, na dunia nzima bado inabahatisha tu kuhusu lini hii mijengo ilijengwa. Haya mapiramidi ni one the greatest mysteries hapa dunianiMkuu hizo pyramids za Giza zilijengwa miaka 4500[?] iliyopita kama sijakosea
Kitu ambacho
Egyptologist hawakijua ni Jinsi gani hizo pyramids zilijengwa au Elimu iliyotumika kuzijenga
Sasa wahuni fulani wanaingizia nadharia zao za Aliens
Mimi naamini wamisri wenyewe ndo waliyojenga hizo pyramids
Hawa watu walikuwa na Maarifa mengi
Zamani huwezi kuitwa Mwanafalsafa bila kupitia Misri
Wanafalsa karibia wote wa kigiriki walipitia Huko
Mi sioni hii concept ya Alien inaingiaje hapa.
Sorry imegoma sijui umeweka nini mkuu