Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

There is no actual evidence that aliens built the pyramid.

What is provided is not evidence, it is just ignorance and supposition of ignorance.
Hahahahahahaaaaa!!!!
 
shukrani bro, waongezee na sura ya 11, suurat huud
 
hebu wacha ubishi usio na tija ww, hebu nijibu na haya ,karne ya 15 sudan ilikuwa na kiwanda cha pamba bora kuliko vyote duniani kwa wakati huo, ucsahau pia hukohuko sudan kulikuwa na wahunzi bora ambao dunia haijapata kushuhudia mpaka leo, swali rahisi tu wamepotelea wapi,ama ilikuwaje, ukiweza jibu hayo tutaendelea, maana huwa mnashangaza nyie watu, huko shule sijui mlienda kusomea ujinga kama asemavyo dada yangu faiza
 
afadhari mimi nlienda kusomea ujinga wewe inaonekana unaogelea na umekulia kwenye upumbavu. unazungumzia historia. WALIKUWA....... wako wapi sasa? na huu ndo msingi wangu wa hoja zangu zote. mla mla leo mla jana kala nini? walikuwa walikuwa then what happened? huo ndo upumbavu ninao usema na miafrika ilivyo mijinga inaona ni sifa kujisifia failures nawe inaonekana umekulia kwenye upumbavu.afadhari mimi sikuwa na ujinga ila nimeenda kusoma ili niupate. wewe umezaliwa na upumbavu. afrika kila kiti kilikuwa kizuri miaka ya nyuma nini kikatokea? ni bara maskini ,lenye machafuko, viongozo mafisadi,wezi n.k hakuna tunalovumbua.


 
Watu bwana hamuishi kupinga. Hata maandiko wameandika hayo mambo bt bado mnapinga. (Ant christ )
 

Umesoma historia ya Babylon?
 
teh, teh, teh, ... .. .ndugu Sodoku, UKISAHAU ULIPOTOKA UTAPOTEA UNAPOKWENDA .

na hapo ndio kuna ulazima wa historia
 
The planet Earth is say 7 billion years old. Homo sapiens has been on this earth for at least 5 million years with the fully developed brain. Yet, to say that he invented technology in just last couple hundred years is naïve. But that is what has been taught in school. Pyramids are found across all continents. There also are huge man made structures in the sea constructed whilst the coastlines were different. Obviously this is evidence of far more advanced humans during ancient times. Undeniably, those who constructed pyramids were much more technologically advanced than us.
 
Wanasema allien mmoja ana uzito wa kg 650 sasa hapo ina maana hakufa hata mmoja na kuvukuliwa tumuone.

Egyptian wenyewe ndio walijenga pyramids story zingine tutaendelea kuzisikia tu kila siku
hivi ni egyptians ama ni watumwa walopelekwa ndo walijenga.
ama unamaanisha ma engineer siyo.ma eng mm najua walikuwa wamisri na manyapara wa kiyahudi walowasimamia watumwa na kuwaelekeza cha kufanya.
 
Waebrania sio waafrika, sababu ya kuweka hiyo ni kuondoa dhana kwamba labda waebrania ndio waliojenga mapiramidi, waebrania walifika Misri miaka kafdhaa baada ya mapiramidi kujengwa
na vp wamisri weusi.kizazi cha watumwa.mi nnajua eti watumwa wakisimamiwa na ma eng wa kimisri ndo walijenga hizi makitu.
na watumwa walikuwa hebrues na baadhi ya bantu toka etiopia.
 
swali la kizushi.
km ni ALIENS ndo walijenga hizo makitu kwa nn iwe misri maana si pahala wanaishi wao.
na kwa nn iwe makaburi ya mafarao.ama ndo kusema wamisri waliwakodi ma eng wa ki aliens kuja kuwajengea makaburi mafarao?.ama mnataka kusema.mafarao walikuwa na uhusiano ama na asili ya hao viumbe?.
 
Yeah we are not alone and Im great beliver of that thing.Aliena are exist but who are they?They are demons.......they cevilesed first than us
Do more reaserch and read more.
 
Ni vile tu kwamba mapiramidi yapo na yanaonekana vinginevyo, ukisoma sources mbalimbali kuhusu mapiramidi na ni namna gani yalijengwa basi bila shaka mapiramidi nayo yangeingia kwenye kundi la simulizi za kusadikika!!! Yaani kama ingekuwa ndo tunaambiwa tu kwamba hapo kale palikuwa na mapiramidi sawa na tunavyoambiwa simulizi za miji ya Sodoma na Gomola basi si ajabu sie wengine tuliozaliwa tukiwa na muhuli wa ubishi utosini wala tusingeamini uwepo wa hayo madubwasha!!

Ni bahati kwamba hadi kesho yapo lakini hakuna andiko hata moja ambalo as of now limetoa jibu with confidence... ya namna gani yalijengwa!! Na hapa nazungumzia hata yale maandiko ya kitaalamu!! 3-6 months ago zilipatikana findings zingine za ukubwa wa mawe ambayo yalitumika!! Walipojiuliza mimawe hii ilibebwabebwa vipi; hapakuwa na hoja yoyote ambayo hata wao wenyewe(wagunduzi) iliwaingia akilini!!! Kutokana na mkanganyiko huu unaoshindwa kutoa majibu ya exact science ndio maana wengine wanaishia ku-abuse human power na kuhusisha "viumbe" kama aliens na wale viumbe ambao tunaambiwa walikuwa ni malaika ambao walidondoka duniani thousands of years ago!!!

Waafrika na sisi hivi sasa tumeanzisha mtindo kwamba haiwezekani Wazungu(watu weupe) kila kitu wajipendelee wao.... Yesu, wao... Nabii Musa, wao... Muhammad, wao.... na mapiramidi nayo, wao-- haiwezekani!! Mapiramidi yalijengwa na watu weusi!! Yaani weusi wale wale ambao vitukuu wao waishio karne ya 21; wakijenga nyumba kwa kutumia akili zao wenyewe basi hata uwezo wa kuhimili mvua hazina lakini miaka elfu kadhaa iliyopita waliweza kujenga mapiramidi-- acheni utani bhana.
 
hivi ni egyptians ama ni watumwa walopelekwa ndo walijenga.
ama unamaanisha ma engineer siyo.ma eng mm najua walikuwa wamisri na manyapara wa kiyahudi walowasimamia watumwa na kuwaelekeza cha kufanya.
Walikuwa ni Egyptian waliojenga ila walikuwa na akili sana na walikuwa wakubwa yaani miamba ya uhakika

Ninaposema walikuwa na akili sana nina maana walianzisha na kubuni vitu vingi sana ambapo dunia inawathamini kwa mchango wao
 
Kuna wengine bado wanaendelea kuamnini kuwa Dunia na vitu vyake vyote vilitengenezwa kwa Siku Sita tu
 
Kuna wengine bado wanaendelea kuamnini kuwa Dunia na vitu vyake vyote vilitengenezwa kwa Siku Sita tu
ha kwani hilo nalo lina ubishiii...
basiii kama una nyepes nyepes anzisha uzi mazeee utujuzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…