Egyptians didn't build Pyramids, Aliens did

Dah! " Maarifa yataongezeka"...

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
ien built the pyramids, blacks did! Just a distortion of knowledge and history from those with white faces and pink noses!
Wazungu na Waarabu ni viumbe vibaya sana kuwahi kutokea duniani....
No alien built the pyramids, blacks did! Just a distortion of knowledge and history from those with white faces and pink noses!
 
Acheni kubishana bishana hayo majengo yamejengwa na mtu mmoja aitwaye Hunzi bin Hunuzi alikuwa jitu kubwa Sana unyayo wake mmoja upo Mtwara na wmingine upo Lindi
Nilipata tetesi hatua yake moja ni umbali wa kutoka kimara hadi kariakoo, hii ishu ni kweli mkuu?
 
Aliens didn't build the pyramids but black skinned Egyptians did
.
Only a fool can fall into this old white men's brain washing propaganda

They had stolen our science,destroyed our culture,adopted our religions and Arts
Replaced our black jesus with white dude.
And now they use it against us

Before Newton began his work in Calculus
It was already mastered by Egyptians Mathematician.

Whites are inferior race of frauds..!
 
There is no actual evidence that aliens built the pyramid.

What is provided is not evidence, it is just ignorance and supposition of ignorance.
 
Picha la Uongo kabisa hilo PhotoShop yaelekea umedanganya watu sana kuwa ni ukweli na kama wewe ni maalim umewahakikishia kabisa Madrassa kuwa picha ni ya ukweli... Nakupa Mtihani mmojo tu useme hilo skeleton la photo shop lipo nchi gani and then nitakulipia nauli nawe ukalishuhudie...

usiamini sana picha za internet.... hata aliyeitengeneza alishakili.... tizama hata hiyo mikono ya jamaa hao utaelewa ni photoshop..


 
Ukiangalia Egypt ya sasa unaweza usipate picha halisi. Haikuwa Egypt ya hawa waarab sasa, ingawaje kuna watu hata sasa waliridhia waitwe waarabu katika misri ila wana asilli nyingine. Kulikuwa na watu wengi wenye asili ya Ugiriki
Hata wakati Pythagoras akitoa theory yake ilikuwa ni baada ya kutembelea pyramid hizi
 
Nilipata tetesi hatua yake moja ni umbali wa kutoka kimara hadi kariakoo, hii ishu ni kweli mkuu?
kaka nataka niende nikatembele mtwara na lindi, je huo unyayo upo mpaka leo na ni lindi sehemu gani au mtwara sehemu gani
 
Wanasema allien mmoja ana uzito wa kg 650 sasa hapo ina maana hakufa hata mmoja na kuvukuliwa tumuone.

Egyptian wenyewe ndio walijenga pyramids story zingine tutaendelea kuzisikia tu kila siku
Dhana nzima ya Allien mimi huwa siamini niionapo popote pale. Ni uongo flani unaotengenezwa kwa malengo flani. Computerized drawing na animation ndio mezidisha huu mchezo. Utachukua muda mwingi kufuatilia, mala hoo viumbe toka sayari zingine. Ukipitia You tube and like utaone vioja vya kusapoti hii dhana. Vyote ni computer animation.
 
Pyramidi zilijengwa na watu weusi waafrika...sasa wazungu wao wanasema kwa kipindi hicho wafrika walikuwa primitive so hawakuwa na uwezo wa kujenga building za aina ile....wazungu bana ingekuwa piramid imejengwa usa au ulaya wangesema walijenga wanasayansi wa zamani lakini imejengwa afrika na mwafrika basi wao wanasema ALIENS....yaani sisi watu weusi ni ALIENS???
 
kwanza niwape maana ya neno alien naona wengi hawafaham
alien 1. A person who comes from a foreign country; someone who does not owe allegiance to your country
2 . Being or from or characteristic of another place or part of the world.
3. Anyone who does not belong in the environment in which they are found
4. A form of life assumed to exist outside the Earth or its atmosphere
so unapoongelea alien uelezee unaelezea kwa mtizamo upi. any body anaweza kwa alien ikiwa anaishi kwenye nchi ambayo si mzaliwa wa hiyo nchi. mimi ni alien kwa hii nchi nliyopo.
mjadala wa rangi sioni kama una umuhimu hapa kwa sababu kwanza Egypt si weusi kusema kuwa ndo maana wazungu wanawachukia but hata kama ni waarabu au weusi walijenga so what? ile akili waliyotumia kujenga pyramids baadaye ikapotelea wapi? au ilichukuliwa na wazungu tena? ki ukweli kwa uwezo w kujenga zile pyramids inaonesha kulikuwa na akili za zaida swali ni kuwa wat happened mpaka tukashuka tena kiakili mpaka sasa kutegemea wazungu watuanzishie kila kitu? asilimia 90 ya vifaa tunavyotumia si kutoka afrika na asilimia 95 si asili ya afrika kwa maana hata kama kwa sasa vinatengenezwa afrika basi mashine zke ni kutoka nje na si made in afrika full suit.
we huoni ? asilimia 90 ya nguo wanazovaa hata viongozi wetu zinatoka ulaya. unakataa angalia kanzu nzuri,suit nzuri, viatu,sandals n.k utakiri kama si ulaya ni marekani na asia pia kwa sasa.
akili za waafruka zilipotelea wapi? hili ni swali ninalojiuliza kila mara wat happened? napenda kujivunia sana uafrika wangu lakini nakosa kitu cha kujivunia mbele ya mzungu. sina. asilimia 90 ya tunavyojivunia afrika ni vitu ambavyo villitokea au vilikuwepo kiasili. sasa tuchunguze hili la pyramids na tupate uhakika ili nasi tuwe na jambo la kujivunia ikiwa lengo letu ni kuitukuza rangi yeu nyeusi au akili yetu. kwa akili sisemi waafrika hawana akili. ila nauliza akili za mwafrika zimemsaidia nini yeye na jamii yake kwa ujumla? kwenye kurahisisha maisha nk.
then hizo habar za aliens.
 
Kwa nini siku hizi hayo mapyramidi hayajengwi tena??
 
pyramids are found all over the world though those of Giza are puzzling due to their perfect alignment to the Orion constellation, could it be that our origin (human) is from either Mintaka,Alnilam or Alnitak?
 
Mzungu anaamini sayansi anayo yeye tu na kila kitu kavumbua mzungu.... Pathetic
 
kwenye bible si inasemekana wakati wa israel walipokwenda misri kutafta chakula kwenye ile miaka saba ya njaa farao ndo alikua akiwatumika kujenga ayo mavitu mpaka mussa alipo wakomboa

hao alliens ni watu wa wapi na ilikuaje wakafika misri na kujenga izi piramids???
 
Nafikiri fact ingekuw kwenye historia ya misri kuanzia zama za chuma mpaka ujenzi wa zile pyramid kwa ushahidi wa kisayansi, kisiasa na kiutamaduni....

Kujiaminisha kuwa aliens ndio wajuaji ni kuuharibu ukweli...

Nakubali kuwa piramidi zimetapakaa duniani pote tena kwa ushahidi wa kuwa wajenzi wanaweza kuwa na utamaduni mmoja.. Kwanini wana jiografia na wanahistoria wasianzie kule kwenye PANGAEA

Lakini pia tujiulize kwamba ni nini yalikuwa madhumuni ya hizo piramidi.

Watu wa dini nao watupe ushahidi wa uwezekano wa influence ya manabii au mitume katika ujenzi wa majengo haya ya ajabu, naamini pia kwao kuna maelezo mazuri na ya kisayansi

Ni hayo tu...aliens sio majibu wala hawana scientific prove ya uwepo wao kwa kila idara labda useme ndo hao majini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…