Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
kumbe maana jamaa wanaachia ngazi
Afrika bwana, wanajeshi na dola wanaamini majawabu ya matatizo yote ni matumizi ya nguvu na risasi.
Duh, huyu ni mwanamke, wamevua burka na naona kuna njemba inataka kumtimba kwene chembe..si kitoto.
Huyu kibabu wanamtumilia tu ili achukue dhambi za waliomtuma, ninachojua huyu ni mgonjwa sana tangia kitambo na huenda hii ni danganya toto kabla ya kuwekwa mtu mwengine achukue mahali pake..sasa mechanism ni kuonesha kwamba kachomolewa na nguvu ya umma kumbe ni danganya toto ili watu wasistukie chezo.Afu pia ukiangalia vizuri, Hosni Mubarak is still pulling the strings and ordering these beatings from his so called 'jail cell'.
Hawa waarabu ni wanafiki sana walisema Mubarak hafai sasa tena wanapiga makelele kwamba jeshi halifai!!