Efraim Kibonde amsafisha Rostam

Kibonde anaongea nini na division 0 lake la form iv.
 
I pity kibondez mother and wife 4 having a reject son/huby with below 0 IQ
 
na mimi ndo nilichokuwa nataka kukimaanisha!!He is fool
 
Ukimsikiliza wakati anaongea na wenzake utajua hazimo utamsikia akiitikia......enhe.....enhe....enhe.....nikipiga picha nafikiri wakati huo huwa mdomo wazi, kali zaidi anapojidadavua kuhoji mtu kwa kingereza ndipo utachoka.........hata kusoma maswali aliyoandaliwa huwa ni shida....eti anajiita yeye ni cerebrate badala ya cerebrity hovyo kabisa.
 
Hivi huyu kibonde huwa hasomi au wenzake hawamwambii kuhusu hz thread zanazohusu, naona kila cku anaendeleza uklaza wake wakubwabwabwaja.
 
Efraim Kibonde hashangazi kwani ni mmoja wa wanahabari vyangudoa wanaununuliwa na kila fisadi kufanya kazi ya nepi. Alianza Salva Rweyemamu kuwa nepi ya Jakaya Kikwete na wakafuatia wengine. Wana habari wa namna hii ni wa kuchomwa moto kama vibaka. Kwani wanaiba mstakabali wa taifa. May you perish Kibonde like your name. Kweli wewe ni kibonde au zoba kama lilivyo jina lako.
 
Ndugu zangu mimi naomba kutofautiana na nyie. Mimi nina imani anachofanya Kibonde ndio msimamo wa Radio anayoifanyia kazi. Kumsakama Kibonde peke yake ni kutaka kusema yeye ni mmiliki wa Clouds. Ukitaka kujua yanayotokea Clouds sikiliza na vipindi vingine kikiwemo Power Breakfast. Kuna hawa watangazaji wawili Gerald Hando na Paul James. Wanachofanya wao ni kutafuta lolote baya na kuliunganisha na CDM. Juzi kuna watu waliandamana na mabango mbele ya Waziri Maige kule Kaskazini. James alisoma ile habari, akaja Hando akairukia anashangaa wale wananchi eti hawajui hata Kiswahili wamewezaje kuandika mabango yale? Kufupisha stori Hando alikuwa na maana kulikuwa na mkono wa CDM. Jamani sio hawahawa Clouds waliondaa sherehe ya kuzaliwa JK mwaka jana? Mambo yameanza kulipa Vyombo vya kurekodi muziki ambavyo JK aliahidi kuwapa wasanii wamepewa Clouds kwa kivuli cha THT. Kumpigia kelele Kusaga kuhusu Kibonde ni kupoteza muda actually ni kumpa ripoti kwamba kijana wake anafanya kazi barabara. Yule Paul James nadhani huwa anakuja amelewa na kuanza kuongea ulevi wake!
 
The biggest mistake is to keep people you personally like in the positions where they are incompetent.
 
Reactions: LAT
Kibonge ni upepo kwa KUSI, uleleko wake unatokana na majira...
 
Kibonde anasumbuliwa na side effects za ARVs anazotumia kwa hiyo siyo makosa yake.
Kuna siku atawatukana hata hao akina Kusaga na Ruge
 
ulikuwa wapi kwani siku zote!?
 
..........................pili kaka shark futa kauli yako kua takukuru imebobea kwa rushwa
Wewe nawe usiwe mgeni wa TAKUKURU,Unasahau kwamba ndio iliyomsafisha A-Ch kua hahusiki na kashfa ya Rada wakati riport ya kamati ya bunge iliyoongozwa na Bw. Ndugai unamtaja waziwazi?Vipi unasahau kua TAKUKURU ilishawahi kuchunguza sualala la RICHMOND na wakadai hakukua na dalili zozote za rushwa?Utasahau vipi kua yapo mambo makubwa tu ikiwamo EPA ambapo TAKUKURU ''walipeta'' mpaka wananchi walivyopiga kelele ndo nao wakaibuka wakati fedha zishatafunwa?SIFUTI KAULI!!
 
Hakuna Ubishi wowote kuhusiana na uwezo wa Kibonde, ni ukweli ulio wazi kuwa anauwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua mambo kuliko mtoto wa darasa la pili but siyo yeye peke yake nimegundua ni almost watangazaji wote wa clouds fm isipokuwa wachache sana ndio wanapima wanachoropoka kina madhara gani kwa Taifa
 
Hlo likibonde nilitanzania kweli au nalo linatoka iran?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…