Nadhan ndo la mwisho hili kwa kiwango nilichonachoπ€£π€£
Mkuu hivi samsung s8 inachez Efootball?Nadhan ndo la mwisho hili kwa kiwango nilichonacho
Vizuri sanaMkuu hivi samsung s8 inachez Efootball?
Ngoja tusubiri hio selection contract nina hamu nipate bekiUshajipata weweππ
Inacheza vizuri kabisa maana mimi natumia s9 na inacheza poa tuMkuu hivi samsung s8 inachez Efootball?
Vizuri mnoMkuu hivi samsung s8 inachez Efootball?
Hapo labda uchukue Rijikard maana anacheza CB VZRNgoja tusubiri hio selection contract nina hamu nipate beki
Khee hunizingatiii PM kumbe upo huku πHapo labda uchukue Rijikard maana anacheza CB VZR
Sawaa sawaa mkuuKhee hunizingatiii PM kumbe upo huku π
Nina jambo kule em kaniangalie
Kwema apo .
Ewaaaaaaa wewe umenenaHapo labda uchukue Rijikard maana anacheza CB VZR