Muda wa mechi umeisha, ngoja promoter aje tuone maamuzi yake.Mwisho sa ngapi naona Edo kissy kaingia mitini😹😹au anasubiri nilale atangazwe bingwa
Yupo kikazi yule namlipa tofauti na nyie mnavyomlipa 😄Ila Amrabat umemuona eeh? 😂
Makosa mengi umefanya naona ni kwa sababu ya net kama ningetaka kuyatumia usingerudi hapa 😂
Ila Tony wako kajua kunikera leo sijui umemlisha kande maana kila mpira alikuwa anauingilia yeye 😂
Umeset ajoin attack?Yupo kikazi yule namlipa tofauti na nyie mnavyomlipa 😄
Hii ligi inachemka 😂Haram football at its peak😀View attachment 3425240
YeahUmeset ajoin attack?
Hiyo role nashindwa kuilewa, anajoin wakati wa kona tu au hata ikiwa kawaida?Yeah
Wakati wa kona zote, na zile foul za pembeni.Hiyo role nashindwa kuilewa, anajoin wakati wa kona tu au hata ikiwa kawaida?
Kuna play off mkuu usisahau, bado wanaweza kukutana 😂View attachment 3425243
As it stands 😂 NEGAN Na haram football yake yupo juu sasa 🔥
---------------------------------------------------
Fixture ya mwisho hii wakuu, kama kuna mtu haujakutana nae hapo, unaeza ukakutana nae kwenye mtoano au ligi ijayo 😀
JF Champions League.
Round 3.
NEGAN v Edo kissy
Mr Devil v Gilberto_
Razorblade v Mill broh
View attachment 3425244
KIWAKE.. 😅
Anhaa! Huwa sijaweka hii maana nilikuwa nahisi labda anajoin wakati wote hata bila mipira ya kutenga.Wakati wa kona zote, na zile foul za pembeni.
Hapana, weka kwa mabeki wote warefu wanasaidia sana mipira hiyo hasa hasa ya konaAnhaa! Huwa sinaweka hii maana nilikuwa nahisi labda anajoin wakati wote hata bila mipira ya kutenga.
Sasa nikiweka kwa wote mkuu mie natumia back 3 si nikishindwa huko itakuwa zahma.Hapana, weka kwa mabeki wote warefu wanasaidia sana mipira hiyo hasa hasa ya kona
😹za bure azinogi ,itabidi tusikilize utetezi wake pia au sheria ni sheriaTayari muda umeisha kaka.. nieke sare akija mcheze au nikupe zako? 😁
😹😹 Gilberto_ usi hangaike kuni tafuta kina pigwa saa 23:00View attachment 3425243
As it stands 😂 NEGAN Na haram football yake yupo juu sasa 🔥
---------------------------------------------------
Fixture ya mwisho hii wakuu, kama kuna mtu haujakutana nae hapo, unaeza ukakutana nae kwenye mtoano au ligi ijayo 😀
JF Champions League.
Round 3.
NEGAN v Edo kissy
Mr Devil v Gilberto_
Razorblade v Mill broh
View attachment 3425244
KIWAKE.. 😅
Sheria ni sheria.😹za bure azinogi ,itabidi tusikilize utetezi wake pia au sheria ni sheria
Nyie mnakimbianaga adi league 😃😃😃😹za bure azinogi ,itabidi tusikilize utetezi wake pia au sheria ni sheria
Alikuwepo sio kama hakujaSheria ni sheria.