eFootball Special Thread

Usirogwe uka spin kwenye epic huwezi pata unapoteza coin bure tu๐Ÿ˜ƒ
Nilispine ya kwanza wakati sielewi kitu nikampata Kravishella mwenye booster moja๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ nikaona mbona nina nyota nikaludia tena epic ya akina Chelline nikaletewa mchezaji wa ligi ya wap sijui ana overall 78 nikasema siludii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ