Efm mnayumba, Mmepoteza nuru

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,757
Hiki kituo cha kurushia matangazo kutoka pale Kawe sasa ni rasmi kinayumba.

Naona sasa wamemwajiri baba Kigan na Lulu kakosa ajira rasmi na hii ni baada ya bwana Maulidi kuondoka. WAMEPUYANGA RASMI.
 
Hiki kituo cha kurushia matangazo kutoka pale Kawe sasa ni rasmi kinayumba.

Naona sasa wamemwajiri baba Kigan na Lulu kakosa ajira rasmi na hii ni baada ya bwana Maulidi kuondoka. WAMEPUYANGA RASMI.
Alipita tu bwana watamlipa sh ngapi ? Yeye ni mtumishi wa umma anao uwezo wa kwenda chombo chochote kutoa elimu ya uraiya kama itahitajika au hukusikia akitoa ufafanuzi wa barabara ya makongo juu acheni kuishi maisha ya kukariri fanyeni kazi
 
Umeyumba wewe maulid ana effect ila sio kwamba ndio kila kitu kuna watu wengine wazuri tu wamebaki wancontent nzurii...sio kila mtu alikua anasikiliza sports headquarter kuna vipindi vingi vizuri.
Na kwenye magazeti alikua anapiga kelele tu sikuona chamaana
 
Back
Top Bottom