Effects za UKUTA

Jambo Tanzania!
Jaman ndugu zangu naomba niweke hadharani, Nina matatizo flani na nimepita pita kwa mafundi tofauti tofaut, nimeshafika Anden, rufiji, bagamoyo, chalinze na pangani kwa professor flan, nazan baadh yao hao mafundi Nina iman baadhi yenu mtakua mnawafaham ama kuwasikia. So shida yangu ama tatzo langu bado so naomben ndugu zangu tusaidiane kwa wale wenyeji wa Tanga, korogwe na Zanzibar tusaudiane pls.
Unaweza wasiliana private kwa mail hii, liverwilly@yahoo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…