Ninamaanisha haswa nilichoongea.The only good thing ni kwamba humaanishi unachoongea kwakuwa kwa dhati ya moyo wako ukweli ni tofauti na hiki ulichoandika
Nimeandika uhalisia ambao hauna chembe ya mahusiano na Mbowe...
Mmh hebu nijibu hili moja tu! Gari inaendeshwa na watu wangapi?Ninamaanisha haswa nilichoongea.
Mbowe ndo katangaza uzinduzi wa Ukuta na ndo katangaza kusitisha maandamano ya Ukuta...
Hali imezua sintofahamu na kambi zimetawanyika na nyuzi za hasira za washabiki wa Ukuta zimesikika na hata hapa JF hali si shwari.
Umejitahidi sana kurudisha ari ya ukuta kwa thread nyingi mfululizo lakini nakuachia upime mwenyewe kiwango cha hamasa cha hao wafuasi wachache waliobaki .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ngoma nimeipenda,..... Wameicheza vya kutosha
View attachment 391896
Nishasema uwamuzi wa busara ni kutotunishiana misuli na serikali!Na nilimpongeza Mbowe kutii amri ya serikaliUlitaka kuona watu wanavuja damu na vitu vimeharibiwa? Usiitafsiri effect kwa muktadha wa madhara tuu
Tukiahirisha kama mara tatu hivi watakosa mishahara ya madaktari, ulimboka kuibuka upya.Na kumbuka serikali imetumia billion 36 kuzima moto wa Ukuta.
Swissme
HatariGreat wall of Tanzania
What???[emoji15]
Aisee... I never thought that to some of you this was kind of fantasyNimekereka Na uoga wa hawa jamaa yaan mnashindwa kuwapa ajira polisi hata ya masaa matatu kwenye miili yenu, ama kweli jaamaa aliposema msinijaribu nao wametii.
Dah..Anakazana??Unakazana kaka.... Hahahahahah
Fungua na thread nyingine