Effects of being an Arsenal fan

kitatange

Member
Aug 1, 2008
33
1
Yafuatayo yamesikika kuhusu washabiki wa Arsenal.
1. Of late wamekuwa na msongo wa mawazo ( Stress) kutokana mfululizo wa matukio during the year.
2. Ile khali ya kuishia kushangilia kwao na aghhhhh! imesababisha stress hii kutokana na kuwa ili affect na nyanja nyingine za maisha yao kuwa za dizaini hiyo ya "aaagggh!" Kwa mfano

a. Mapenzi - Performance yao katika kutafuta magoli imekuwa ya style hiyohiyo

b. Day to day activities - Shughuli zao mbalimbali za kimaendeleo na kimasomo zimekuwa za design hiyohiyo, kuwa never finished zinabakia kuwa Work in progress for a while!

3. There is a possibility that arsenal fans wana character zinazofanana or any other team fans for that matter.

SWALI: Hivi ni kweli haya, is there any scientific explanation with or against this?
 
Wewe mbona umesahau yule rafiki yenu....aliye wa ''butcher'' jamaa kule Nigeria?
 
Mkubwa kuna watu wana machungu na hiyo timu ngoja wajitokeze
 
And the WUM of the year award goes to..............kitatange
 
Back
Top Bottom