EFD zinauzwaje

EFD zinauzwaje

Kikawaida hata hao wa maduka ya kawaida wanatakiwa wawe na efd ila efd yao haitakuwa na vat, maana ili upate vrn lazima mauzo yako kwa mwaka yawe 100mil +
 
Kuhusu kumiliki EFD
1. Ufikishe kiwango hitajika cha Returns 14m kwa mwaka.
2. Wateja wako. Yawezekana biashara yako japo mtaji mdogo lakini wateja wanakulazimisha uwape risiti za TRA.
3. Kwa manufaa yako ili kuweza kuweka udhibiti wa biashara zako.

Karibu EFD. Kama Upo Manyara, Arusha na Kilimanjaro nitafute.
 
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom