Tukiwa shuleni zamani sana Enzi za mwalimu tunakimbia mchakamchaka huku tunaimba
Taifa litajengawa na sisi vijana
Taifa litajengwa na wenye moyo
leo hii taifa litajengwa na wananchi wenyewe MAGUFULI kaza kamba tu hata kama matunda watakuja kuyafaidi wajuu zetu siyo mbaya
Jamani mtazoea tu nchi zilizoendelea zinajiendesha na kodi, hata wauza karanga nao lazima walipe kodi, si wanapata faida. Maendeleo tutayaona kama pesa itatumika ipasavyo.
Jamani mtazoea tu nchi zilizoendelea zinajiendesha na kodi, hata wauza karanga nao lazima walipe kodi, si wanapata faida. Maendeleo tutayaona kama pesa itatumika ipasavyo.