Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Tanga pia leo jumatano ya tare he 12 Feb 14 maduka mengi yamefungwa hasa maeneo ya stand kuu na soko kuu
Tanga pia leo jumatano ya tare he 12 Feb 14 maduka mengi yamefungwa hasa maeneo ya stand kuu na soko kuu
Acheni basi kazi za kuajiriwa fungua biashara na wewe Kama unaona wafanya biashara tunafaidi kutolipa kodi, sa Kama hatulipi kodi sijui huo mshahara mngelipwa na nini hela za EPA, faida zitokanazo na pembe za ndovu ama madawa ya kulevya?
an example of a poor mind! Tatizo umekariri na hujui unalobishia!