Uko sahihi kabisa.
hiyo factor ni very effective ukizingatia biashara za kibongo za kudeliver na kulipwa baada ya muda fulaniNi kweli mkuu hasa swala la credit note EFD haitambui negative tax so it's off system na ukiwauliza how to deal with credit note hamna majibu ya msingi
Wao wana EXCUSE kibao lakini kama tatizo limemkuta mfanyabiashara kwa kweli ni vitisho,faini na rushwa ya waziwazi na bado watamuacha bila kumuelimisha asikosee tena siku za usoniLemgo kubwa ilikuwa kuuza machine ambalo hakikia limefanikiwa kwa 90%...... utasikia ''hilo tatizo tupo katika mchakato wa kulishighulikia ili kuondoa usumbufu uliojitokeza na kikosi kazi kimeshaundwa tayari''
hapo ndio tunaita wamebugi stepOn top of that is this, unaongea na muuzaji akupunguzie bei anakubali bidhaa ya laki anakuuzia kwa
Tsh 90,000 au chini kidogo, kwa exchange ya risiti ya tsh.30,000/= tu! UNAKUBALI. Raha hiyo.
Si bidhaa haina jina. Yaani hakijulikani ni kitu gani kimenunuliwa kwa sababu hakuna tume ya bei
inayofuatilia, maadamu KODI ipo.
Elimu kwa mlipa kodi kwa mapana ni ya muhimu,imagine wafanyabiashara wasomi au wanaoishi mijini wana uelewa lakini bado wanakumbana na matatizo kwa kutokufahamu baadhi ya vipengele vya sheria hii sasa je kwa mkulima wa pamba Bariadi ama mfugaji wa Longido inakuwa vp hapoTungelikuwa na tume ya bei, bidhaa zote zingekuwa na code ya aina moja na bei ya kufanana
na hivyo risiti zote zingeleta kodi ya ajna moja.
Ukiziangalia risiti hizo hata saa zinachekesha.
TRA ilitakiwa iufundishe umma juu ya UMUHIMU WA KODI, si kwa kupitia ktk redio tu bali
kwa matangazo ya kuzagaa kila mahali kama yafanyavyo makampuni ya simu.
Mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha..mafanikio yapo lakini mapungufu ni mengi yanafunika na hayo unayoona mafanikio.na pia hapo umezungumzia upande mmoja, upande wa mlipwaji haujaujali hata kama kuna matatizo tuliyoyainisha hapo juu itatakiwa asilipwe which is not fairHabari za jioni?
EFD imefanikiwa kwa kiwango kikubwa
Yaani sasahv kama hauna fischal receipt hauwezi lipwa pesa tofauti NA zamani
Ni kweli mkuu hasa swala la credit note EFD haitambui negative tax so it's off system na ukiwauliza how to deal with credit note hamna majibu ya msingi
Wao wana EXCUSE kibao lakini kama tatizo limemkuta mfanyabiashara kwa kweli ni vitisho,faini na rushwa ya waziwazi na bado watamuacha bila kumuelimisha asikosee tena siku za usoni
Bei ya hizo machine ambayo hulipwa kwa kodi yetu mbona haiongelewi, bei ya EFD ni kubwa mno ukilinganisha na bei ya vifaa vingine vinavyofanya kazi kama EFD, wakati POS terminal zitumiwazo na mabenk huuzwa kwa USD 100-250, EFD huuzwa kati ya usd 1000 hadi 2500 KUNA NINI HAPO ?
Yaani wanajitahifi wadau wawe kizani wawakamueni kweli kabisa hizi mashine zimeongeza wigo wa rushwa kwa watu wa TRA, nimeshuhudia kwa macho yangu mbele ya watu ndani ya ofisi ya TRA wanachukua rushwa "kukusaidia" usilipe faini ya 3mn ! nilionavyo hili zoezi ni kuwa, TRA watahakikisha mambo mengi wananchi hawajui ili waboreshe wigo wa rushwa hali kadhalika wananchi nao watajitahidi kujua mbinu za kuishi nazo hizo mashine kwa "manufaa". Hivyo mwishowe itakuwa ni mradi ulioshindwa, kwani hamna mtu au kikundi ambacho kina haja ya kufanya marekebisho !