Eeh! Kumbe Lulu ni CHADEMA?

Eeh! Kumbe Lulu ni CHADEMA?

Simple

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2009
Posts
249
Reaction score
121
Binti kaamua kuvaa gwanda,, lulu mahakamani.JPG
 
Kwani wewe hutaki awe Chadema,kumbuka Chadema kinadunda kotekote na sio Lulu tu wako kibao kwa umri kama wake Peoples Power
 
Mara hii tumeshasahau kwamba anafadhiliwa na Halima Mdee?
 
Sasa amekuwa sober kweli kweli maana mapombe na uzinzi umepungua kwenda mbele...na yuko saafi kabisa
 
Safi Lulu. Endeleza ya the Great!! Najua mlipendana na yaliyotokea yalitokea bila kupangwa!! It pains jamani.
 
Looh Jamani walioko huko msimmalize huo mtoto mtamu saana anaonekana

 
Back
Top Bottom