Ee mungu nakuomba

ERIK

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
623
Reaction score
315
Habari zenu ndugu zangu!! ni kama stori za zamani au ni kama lisemwali lipo na kama halipo linakuja, ni vigumu kunielewa kwa sasa ila naomba DUWA zenu pia kwa MUNGU wetu aweze kutimiza ndoto na malengo yangu katika mapenzi!!

kwa wale waliosoma post yangu ya mwisho watakuwa wamenieleza zai,

siku zijazo nitakuja kuwahakikishia kuwa JF na love connect ni ya watu wa kweli na wanaojielewa japo kuna wa chache wanaaribu......

EE MUNGU NAKUOMBA huyu mwana JF mwenzangu hapa ubaoni ndo awe mke wangu mtarajiwa!!
naomba msiniambie nimtaje mpaka nitakapokuwa nae katika serious lover na yeye mwenyewe kukubali nimtaje!!!
 
Reactions: BAK
Ombeni nanyi mtapewa, tafuteni mtapata, bisheni mtafunguliwa!!
Kila lakheri!
 
maskini unatia huruma ila unahitaji muda wa kumfahamu vizuri kama unataka awe mkeo ila kama kula bata tu aaahh fasta vuta toto hilo.
 

Penzi changa tamu sana! msitajane hadi likomae; mtakosa pa kuficha nyuso zenu!
 
maskini unatia huruma ila unahitaji muda wa kumfahamu vizuri kama unataka awe mkeo ila kama kula bata tu aaahh fasta vuta toto hilo.

natia huruma ki aje teeena!! me nishakula sana bata now nataka wife, bado hatujaanza chochote nw tupo katika kufahamiana na kuelewana kwanza
 
kuna wenzio walikuja na vilio kwa kuapa kutotafuta tena JF,,,,,,,,,kumbe wewe umebahatika loh kila la kheri best uweze kuzing'amua hila za mwovu
 
kiukweli kuna wengine wanakutania PM na hawaweki mabandiko kwenye love connect lakini mapenzi yao yanadumu maybe tutaalikwa kula pilau muda si mrefu.
 
natia huruma ki aje teeena!! me nishakula sana bata now nataka wife, bado hatujaanza chochote nw tupo katika kufahamiana na kuelewana kwanza

kuwa makini usijekutana na Bikira Maria fake oooooh hatutaki vilio hapa.
 
Wasikukatishe tamaa humu Jf kuna wanawake wenye tabia nzur tu na wanajitambua vzr sana ww bhana omba MUNGU mambo yaende vzr.
 
kuna wenzio walikuja na vilio kwa kuapa kutotafuta tena JF,,,,,,,,,kumbe wewe umebahatika loh kila la kheri best uweze kuzing'amua hila za mwovu

Bado sijafanikiwa ndo tunakoelekea na ndo maana naomba duwa zenu ili niweze kufanikiwa ila nimegundua kuwa hapa sio wote wazinguaji na sio wote wapo serious! Asante kwa maombi yako ASMAN
 
Wasikukatishe tamaa humu Jf kuna wanawake wenye tabia nzur tu na wanajitambua vzr sana ww bhana omba MUNGU mambo yaende vzr.

kweli mkuu mimi pia nimehakikisha hilo, na nitawashuhudia kuwa hapa kuna watu tunajielewa soooooon!!
 
Mimi nasibiria siku ambayo utakuja na post ya Wanawake wa jf hawafai..sijui kama wakati huo utakua tiayari kumtaja jina !!!!
 
kiukweli kuna wengine wanakutania PM na hawaweki mabandiko kwenye love connect lakini mapenzi yao yanadumu maybe tutaalikwa kula pilau muda si mrefu.

wewe kabla ya pilau nitakualika kumjua wifi yako mambo yakiwa sawa
 
wewe kabla ya pilau nitakualika kumjua wifi yako mambo yakiwa sawa

ahadi ni deni,,,,,,,,,ole wako usitekeleze teh teh teh teh Mungu awatangulie
 
Hahahahaaa!
Mzee unaswaga!
Hongera! Akiiona hii post LAZIMA pi.chu lim'bane!!!!
Hahahahahaaa!
...
Kila la heri!
Ila ndio ivyo, ujitahidi kucare! Hata kumgegeda ujikaze sana!
Sio baada ya mda aje kutukana me waJF wote kwa weakness zako wewe m1!
...
Ningekuwekea wimbo wa Alicia Key "..every thing gona be alright...
No 1!
Noo 1!
Noo waaaaan!!!

 
^^
Moyo wa mwanadamu ni fumbo lakini jibu la Mungu ni tulizo la wamtumainiao.
Ufanikiwe ERIK
^^
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…