mchana Ni rahisi kumbeba mtoto akatulia kuliko usiku.Vizuri sana, ila kama wewe mwanaume mara 2 mkeo anaamka usiku wa manane kumbembeleza mtoto wewe umelala tu hata huamki kumsaidia, yakupasa ujitafakari.
Hahahaaaa... mwanzoni nimeanza na "kuishi uanaume ni majukumu"Wewe puuzi kweli jaribu usiache pesa asubuhi uone utakavyoandamwa, mgawanyo wa kazi wewe unaona kuwa mwanaume raha, mbona usemi wababa wasukuma mikokoteni, wabeba mizigo mizito, wachimbua na wazibua mitaro ya mavi ili huyo mke na watoto wapate kwenda choo.
Hata usiku ni vizuri, mara zote mtoto akiwa kifuani kwa baba huwa anatulia.mchana Ni rahisi kumbeba mtoto akatulia kuliko usiku.
Pengine watoto wametofautiana. Baba Unaweza ukawa uko macho usiku na usifanye chochote, mtoto anabweka balaa.Hata usiku ni vizuri, mara zote mtoto akiwa kifuani kwa baba huwa anatulia.
Hakuna theory hapo. Hayo ni maisha halisi ktk ndoa za kibongo. Au unataka kukataa nini?Mtoa mada kua uyaone! achana na hizo theories za kwenye magrupu ya whatsapp!
Naam naam... ninaye.chifu una mke?
chifu una mke?
Basi bila shaka mada yako imeakisi maisha yako na mkeo! Wanaume wengi(wa ukweli) tunatofautiana na mada yako!Naam naam... ninaye.
Labda ndoa yako! How hell mwanao alie wee, halafu wewe umetulia eti unasubiri kugegeda, are you a robot or a zombie thing!Hakuna theory hapo. Hayo ni maisha halisi ktk ndoa za kibongo. Au unataka kukataa nini?
Mkuu, inawezekana mada imeakisi au haijaakisi maisha yangu. Tafadhali naomba kujua huo utofauti wa wanaume wengi wa ukweli.Basi bila shaka mada yako imeakisi maisha yako na mkeo! Wanaume wengi(wa ukweli) tunatofautiana na mada yako!
Slow down, kujifunza haihitaji uharaka. mtoto kulia na kubembelezwa ni kawaida yake. Upende usipende. Mtoto kuwepo haimanishi, hakuna kingine kitakacho endelea labda kama ana matatizo.Labda ndoa yako! How hell mwanao alie wee, halafu wewe umetulia eti unasubiri kugegeda, are you a robot or a zombie thing!
Katika mada yako, Mwanaume wa shoka akisikia mtoto analia naye ataamka na kumbeba mtoto, atamwimbia kila nyimbo (hata kama hakuwahi kuimba ujanani) atacheza hata segere; mwisho mtoto ataanza kusinzia na kulala! Ndipo naye atarudi kulala!Mkuu, inawezekana mada imeakisi au haijaakisi maisha yangu. Tafadhali naomba kujua huo utofauti wa wanaume wengi wa ukweli.
Haya maelezo yako ndo yanakaribia kuwa 'theory'. Nina mifano mingi sana za wanandoa, mwanaume anakaa kama gogo ndani ya nyumba.Katika mada yako, Mwanaume wa shoka akisikia mtoto analia naye ataamka na kumbeba mtoto, atamwimbia kila nyimbo (hata kama hakuwahi kuimba ujanani) atacheza hata segere; mwisho mtoto ataanza kusinzia na kulala! Ndipo naye atarudi kulala!
Asubuhi, Mwanaume wa ukweli anaamka mapema kupasha misuli walau hata kukimbia kidogo, huku wife anamalizia usingizi! Ukirudi msaidie kumuandaa dogo shule, then chai(kama ipo) kisha sepa katafute unga wa ugali!
Tendo la ndoa halina ratiba, it comes automatically between the two!
Naanza kunusa harufu ya umri wako! I am out!Haya maelezo yako ndo yanakaribia kuwa 'theory'. Nina mifano mingi sana za wanandoa, mwanaume anakaa kama gogo ndani ya nyumba.
Labda kwa sababu umesema 'mwanaume wa shoka'.
Sasa sijui hawa wengine ni wanaume wa kisu.
Kama utarudi ubishe hodi mkuu.Naanza kunusa harufu ya umri wako! I am out!