Edwin Soko Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari nchi za Kusini mwa Afrika, akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika Uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 na kuambatana na vurugu za Maandamano ambapo Vyombo vya habari vilikaa kimya na umma kukosa Taarifa ya Matukio yaliyokuwa yakiendelea
Soko ameeleza kuwa ukimya wa vyombo vya habari ilisababishwa na hofu miongoni mwa waandishi wa habari pamoja na sheria za nchi na maadili ambazo zinamkandamiza mwandishi wa habari ashindwe kutekeleza wajibu wake