Omuchimati
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 427
- 202
Jana nimetizama kilichotokea Moshi na pia safari ya Ngoyai Lowassa kuelekea kwenye mazishi ya Mwanachama mkongwe wa chama cha mapinduzi Mzee Peter Kisumo,ilikuwa ni mbwembwe za kisiasa na fujo,hii ni ishara mbaya kwa nchi yetu,huyu mzee amejaa laana haifai kabisa ataleta vurugu ndani ya nchi, watanzania wamezoea amani na kuheshimiana, nimsikiliza Mbatia aliongea ujinga mtupu, yule sio waziri mkuu mstaafu, alijiziulu ni kauli tu ya heshima aliopewa na serikali kuitwa mstaafu, Mbatia usipotoshe watu, ulikuwa umepotea katika ramani umepewa ubunge, tunaona sasa masikio yamezidi kichwa na siku zote naamini unafahamu masikio yakizidi kichwa nini matokeo yake.
Wito kwa serikali yangu na vyombo vya dola, ninyi ndio watunza amani wa nchi hii msije acha mtu mmoja akavuruga amani ya nchi kwa kujinufaisha yeye mwenyewe na familia yake, Chadema wanamtumia tu kama daraja wanajua ni mmbovu ni mchafu,na waliomchafua ni wao wenyewe,watanzania msifanywe kama wajinga,tumieni akili yenu kuhakikisha amani ya nchi inadumu,MUNGU IBARIKI TANZANIA.