Edward Moringe Sokoine mpya

Edward Moringe Sokoine mpya

bolivia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
3,140
Reaction score
5,286
Habari Ndugu zanguni,

Kuna Edward Moringe Sokoine mpya nyuma ya utawala huu wa Mama, lakini amefichwa na wala rushwa,walanguzi,mafisadi, wachumia tumbo, mabingwa wa kuhujum nchi.

Huyu Sokoine mpya alikuja vizuri sana na sera zake na tayari tuliona maono yake ni ya muda mrefu kwa taifa letu lenye amani. Lakini katika tawala hizi mbili almanusura akengeuke, kumbuka Sokoine huyu ni kama yule tu ambae alipendwa sana sana na mchonga meno na ndiyo ilikuwa great expectation kwake kwa vijana wa taifa hili.

Bahati mbaya sana Mungu na mipango yake haikuweza kutimia kuwa pale tuna imani one day, Sokoine huyu mpya atarudi na kuwa tumaini letu jipya kutimiza agano la Mwl. Nyerere.

Leo hii taifa hili siyo la kukaa gizani, na kukosa umeme huku maji yakija kwa style ya kifurushi baada ya muda unapokea ujumbe wa kubakiwa na 75%, tuna wasomi kutoka chuo kinachotajwa kama bora ukanda huu wa Africa ya Mashariki na Kati toka enzi ya uhuru 1961.

Wasomi uchwara tu, walioshindwa kulitetea taifa lao, ilhali walisomeshwa kwa loan board. Kuna koo flani zinajimilikisha keki ya taifa kama wao ndiyo wenye nchi, na sisi wengine hatuna authority nayo.

Mikopo, mikopo,r ushwa, rushwa, tozo, ufisadi, ulanguzi, umaskini.

Kumbuka hotuba ya Mwisho ya Sokoine 1984, Kwenye kikao cha NEC Dodoma.

"The end is near, repent."
 
Madelu anazingua kinyama.

Vita vya urais vitawatoa meno
 
Mkuu
Hoja inapowekwa wazi bila. kufungamana na target anayokusudia mtoa hoja, basi ni haki kwa walioelewa kuielezea kwa mtazamo wao.

Madelu ni mchumi uchwara
Aaah aah sawa upo sahihi, but u seems like una feel activities zake au uwe upande wake
 
Mwigulu Nchemba, na January Makamba hawana sifa hata moja ya Sokoine. Hawa ni waroho wa madaraka, Sokoine aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu akaenda China kusoma. Hawa wanaojiandika kwenye mawe wanafaa kuwekwa pembeni kwanza wanahatarisha nafasi ya mama kwenye kiti.
 
Yes,hii ya kuandika majina kwenye mawe nimeiona some where nadhan njia ya same.
 
Habari Ndugu zanguni,

Kuna Edward Moringe Sokoine mpya nyuma ya utawala huu wa Mama, lakini amefichwa na wala rushwa,walanguzi,mafisadi, wachumia tumbo, mabingwa wa kuhujum nchi.

Huyu Sokoine mpya alikuja vizuri sana na sera zake na tayari tuliona maono yake ni ya muda mrefu kwa taifa letu lenye amani. Lakini katika tawala hizi mbili almanusura akengeuke, kumbuka Sokoine huyu ni kama yule tu ambae alipendwa sana sana na mchonga meno na ndiyo ilikuwa great expectation kwake kwa vijana wa taifa hili.

Bahati mbaya sana Mungu na mipango yake haikuweza kutimia kuwa pale tuna imani one day, Sokoine huyu mpya atarudi na kuwa tumaini letu jipya kutimiza agano la Mwl. Nyerere.

Leo hii taifa hili siyo la kukaa gizani, na kukosa umeme huku maji yakija kwa style ya kifurushi baada ya muda unapokea ujumbe wa kubakiwa na 75%, tuna wasomi kutoka chuo kinachotajwa kama bora ukanda huu wa Africa ya Mashariki na Kati toka enzi ya uhuru 1961.

Wasomi uchwara tu, walioshindwa kulitetea taifa lao, ilhali walisomeshwa kwa loan board. Kuna koo flani zinajimilikisha keki ya taifa kama wao ndiyo wenye nchi, na sisi wengine hatuna authority nayo.

Mikopo, mikopo,r ushwa, rushwa, tozo, ufisadi, ulanguzi, umaskini.

Kumbuka hotuba ya Mwisho ya Sokoine 1984, Kwenye kikao cha NEC Dodoma.

"The end is near, repent."
Taja tu Jina Boss tuelewe moja
 
Hakuna mwanasiasa yeyote kwa sasa ndani au nje ya CCM mwenye hata robo tu ya sifa za Edward Moringe Sokoine.
Narudia tena, hakuna na kama yupo basi labda yupo vyuoni huko bado anasoma.
 
Back
Top Bottom